G 6
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 506
- 235
Mapovu yamekutoka sababu katajwa mondi...Hapo kwenye maandishi makubwa ndio mantiki ya sentensi yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapovu yamekutoka sababu katajwa mondi...Hapo kwenye maandishi makubwa ndio mantiki ya sentensi yake.
Ana wimbo unaitwa Uwe wangu..ni hatari tupu!! Kuna muda anasound kama Toni BraxtoniHuyu dada anajua sana sana toka namsikia kwenye song lake liitwalo wimbo wangu, free soul, nyakati za mashaka nilikubari kwamba ni almasi mchangani sema tu hajashtukiwa.
Umemaliza hoja,sasa umeona uongee mipasho.Mapovu yamekutoka sababu katajwa mondi...