Lager
JF-Expert Member
- Mar 4, 2019
- 395
- 1,085
Kila tukikosana na nikataka tuachane basi unakuja gheto kuomba msamaha na mara zote msamaha nautoa bila hata kuongea chochote yani ukinipa tu na msamaha natoa!.
Kusema kweli Grace sijapenda tabia yako hii ya kumaliza makosa yako kwa njia ya kidikteta telezeshi! Visa vyako ni zaidi ya msamaha wako.
Grace nataka nikuache lakini nashindwa kutokana na uombaji wa msamaha wako! Naomba kuanzia leo Grace msamaha wako uuombe kwa njia ya simu sitaki ili mizani iwe sawa.
Kwako Grace muomba misamaha changamfu.