Grace usije tena gheto

Grace usije tena gheto

Grace mnaweza kosana hata kwa yeye kutokutaka kuja gheto lakini ukimfokea ukataka kumuacha anakuja gheto na akija jua hamzungumzii makosa! Akishanipa anaondoka imefika hatua hata nimesahau kanikosea nini! Kumuacha nataka lakini aina hii ya uombaji msamaha ndo imekuwa changamoto kumuepuka grace kila Nikisema mara hii hapati msamaha lkn akija gheto akaniwekea tu mkono kifuani basi ukuta wote niliyomuekea anauvunja[emoji22][emoji22]

Grace usije tena gheto.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji16]Hivi unaisema Ccm wakati wa kampen au Grace wako maana sijaelewa hapo:
 
Kama mwanaume msimamo muhimu. Unafeli wapi mkuu.
Mkuu watu wanasema hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
Akija nakosa usemi msimamo mbele ya hisia za mapenzi ni sawa na biskuti mbele ya mdomo wa mtoto
 
Nilikuwa na mwanamke wa style hiyo asee nilipata shida sana... Kuhama kikazi ndo kuliniokoa na sikutaka apajue ninaoishi mpaka leo ananitafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ndivyo mapenzi yanatakiwa,kungekua na kina Grace kwenye kila wana ndoa

sidhani kama kungekua na kuachana na kupeana talaka,Grace n kiboko ya wabishi kama mimi
 
Back
Top Bottom