Grace usije tena gheto

Sema tU huna msimamo, kuona uchi tu kwisha habari....na Grece kashajua udhaifu wako baada ya hapo mimba.
 
Ukizingatia ule utafiti hadi leo haujazaa suluhisho la kwanini mwanaume akisukumwa kwa kidole cha mwanamke kuelekea kitandani, mwanaume lazima aanguke? Watafiti bado wako kazini kutafuta jibu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…