A Ayugo Member Joined May 29, 2013 Posts 57 Reaction score 3 Oct 28, 2013 #1 anayefahamu kuhusu habari hizo naomba anisaidie kwa maana kuna baadhi ya shule wameshaanza kutumia hizo grade mpya!
anayefahamu kuhusu habari hizo naomba anisaidie kwa maana kuna baadhi ya shule wameshaanza kutumia hizo grade mpya!
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 37,957 Reaction score 26,414 Oct 28, 2013 #2 Nikajua unafahamu hizo grade mpya kumbe unaulizia....?
A Ayugo Member Joined May 29, 2013 Posts 57 Reaction score 3 Oct 28, 2013 Thread starter #3 yaan nimeulizia kuhusu kutumika katika mitihani ya kitaifa ila nazifahamu hzo grade..
V vice UDOM JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 204 Reaction score 9 Oct 28, 2013 #4 me cfaham
AfricaUnited JF-Expert Member Joined Jul 31, 2010 Posts 2,367 Reaction score 1,293 Oct 28, 2013 #5 hakuna grade mpya ndo maana hazijatolewa officially.note kutoka moe.go.tz
C Ctr JF-Expert Member Joined Mar 30, 2013 Posts 505 Reaction score 228 Oct 28, 2013 #6 Ayugo said: anayefahamu kuhusu habari hizo naomba anisaidie kwa maana kuna baadhi ya shule wameshaanza kutumia hizo grade mpya! Click to expand... Hizo gredi bado zipo kwenye dodoso, kwa uhakika tembelea web ya necta au wizara ya elimu,kila kitu utakifahamu
Ayugo said: anayefahamu kuhusu habari hizo naomba anisaidie kwa maana kuna baadhi ya shule wameshaanza kutumia hizo grade mpya! Click to expand... Hizo gredi bado zipo kwenye dodoso, kwa uhakika tembelea web ya necta au wizara ya elimu,kila kitu utakifahamu