Grade mpya advance level

Grade mpya advance level

Ayugo

Member
Joined
May 29, 2013
Posts
57
Reaction score
3
anayefahamu kuhusu habari hizo naomba anisaidie kwa maana kuna baadhi ya shule wameshaanza kutumia hizo grade mpya!
 
yaan nimeulizia kuhusu kutumika katika mitihani ya kitaifa ila nazifahamu hzo grade..
 
hakuna grade mpya ndo maana hazijatolewa officially.note kutoka moe.go.tz
A%20S-confused1.gif
 
anayefahamu kuhusu habari hizo naomba anisaidie kwa maana kuna baadhi ya shule wameshaanza kutumia hizo grade mpya!

Hizo gredi bado zipo kwenye dodoso, kwa uhakika tembelea web ya necta au wizara ya elimu,kila kitu utakifahamu
 
Back
Top Bottom