Grade mpya za a-level

Ndiyo inawezekana kwamba hizo grades zilishapangwa kutumiwa na NECTA lakini majuzi wakati wa kutoa taarifa ya ile kamati Mh.Lukuvi alisema moja kati yamaamuzi yaliyofanywa ni kwa baraza la mitihani(NECTA) kupigwa marufuku kujipandishia grades bila kushirikisha wadau.Sasa ukiangalia pia na jinsi kashfa waliyoipata NECTA kwa haya matokeo ya kidato cha nne,kwa kweli hizo grades hazita tumika...
Nawasilisha
 
unajua necta wanajiamulia tu..mwisho wa siku wanaumia wanafunzi..mfano grade mpya zilitumika pasipo kushirikisha wadau hasa shule.inaumiza sana mtima.
 
acheni mchecheto wanafanya grading za 4m4 tu, na cyo 4m6.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…