Mkuu kwan degree hawahitajiki kbs!Na pia naomba kujuzwa hao Teachers junction hawahusiki na conection ktk vyuo vya ualimu,mana me natafuta sana hyo chance kwa hapa dar.NIJUZENI.
Nimepga cm kapokea mdada anaovyoongea nimeshndwa hata kuelezea shda yng nikapotezea
boss, i am a sociologist . Am i having that golden chance pliiiiizwanahusika pia na vyou na shule ila kwa sasa nafasi za degree ni chache kwa sasa ila kama unaweza fanay kwa mshahara wa diploma mwanzoni then baadae unaweza pata unayohitaji.
Tupigie tu then upeleke cv zako fanya hivyo
Nimepga cm kapokea mdada anaovyoongea nimeshndwa hata kuelezea shda yng nikapotezea
mwambie aje atapewa shule zilizopo kama atakuwa tayari nazo pia atapewa orodha ya mishahara so atachagua yeye