GradeA and Diploma Teachers are needed Urgently

imma.one

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
542
Reaction score
37
Are you grade A teacher?
Are you Diploma teacher?
Your chance to work is here dont strugle any more.
Would you like to work with Dar es salaam competitive schools?
Teachers junction is here for your prospects.
Call 0655586906 or 0682586906
or 0753810857 now!
 
Yas kweli nafasi bado ni nyingi na wengi mnahitajika hususani wa grade A
 
Mkuu kwan degree hawahitajiki kbs!Na pia naomba kujuzwa hao Teachers junction hawahusiki na conection ktk vyuo vya ualimu,mana me natafuta sana hyo chance kwa hapa dar.NIJUZENI.
 
wanahusika pia na vyou na shule ila kwa sasa nafasi za degree ni chache kwa sasa ila kama unaweza fanay kwa mshahara wa diploma mwanzoni then baadae unaweza pata unayohitaji.
Tupigie tu then upeleke cv zako fanya hivyo
 
Nashangaa kwa nini nimechelewa kuiona hii thread, kesho lazima nipige simu. Ahsante
 
Nimepga cm kapokea mdada anaovyoongea nimeshndwa hata kuelezea shda yng nikapotezea
 
ngudu yangu kuwa mvumilivu, there u a bossez dance with them accordingly, so that u acheive u wishez TRY AGEIN PLIZ
 
wanahusika pia na vyou na shule ila kwa sasa nafasi za degree ni chache kwa sasa ila kama unaweza fanay kwa mshahara wa diploma mwanzoni then baadae unaweza pata unayohitaji.
Tupigie tu then upeleke cv zako fanya hivyo
boss, i am a sociologist . Am i having that golden chance pliiiiiz
 
Jamani na mimi nina ndugu yangu ana Cheti cha ualimu wa Nursery vipi naweza kupata nafasi, plz wakuu naomba msaada
 
mwambie aje atapewa shule zilizopo kama atakuwa tayari nazo pia atapewa orodha ya mishahara so atachagua yeye
 
nyie ni matapeli..acheni kuwaibia walimu sio poa kaka...mbona siku izi mnawaogopa maticha wa degree!?..tafuteni mishen za kufanya wakuu,ni matapeli kiduchu sana waliotoka.
 
Back
Top Bottom