Grader ya Caterpiller au Lori la Scania?

Don Draper

Senior Member
Joined
May 30, 2012
Posts
176
Reaction score
87
Ipi inalipa kununua kwa ajili ya biashara?

kiasi gani ina cost kukodisha?



or

 
Grader linalipa hata mimi niko mbioni kununua. Grader sio lazima liwe lipya hata la zamani na gharama ni sawa kwasababu kichwa cha scania ni kama $20,000 na tera $10,000 wakati grader ni $30000. Ku rent grader kwa siku TSH 400,000 wakati scnania kwa mwezi TSH 4,000,000 tu ukitoa gharama.
 

Kamudu, is this true? Hizo bei za scania na grader ni za wapi? Nafanya transport japo kwa kiasi kidogo so hizo bei ulizotoa zimenishtua sana. Lakini si mbaya tukajuzana hizi sources kwa faida yetu sote,I'm sure kuna vitu utavipata toka kwangu na mimi vipo vingi tu nitajifunza toka kwako. Thanks!
 

Mkuu na je vp upatikanaji wa kazi? unaweza ukawa nalo halafu ukakosa kazi bure?
 
Fanya search kwenye dealer wa uingereza kwenye mitandao halafu wasiliana nao.
 
Daah kamundu umenishtua,,,,
tumenunua scania 124 kichwa milioni 69 ,,,na pia kukodisha grader ni 1m per day mkuu kwa sasa,,
kwa maoni yangu na kutokana na uzoefu,grader inalipa sanasana hizo excavators cost yake kui run ni kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…