Don Draper
Senior Member
- May 30, 2012
- 176
- 87
Ipi inalipa kununua kwa ajili ya biashara?
kiasi gani ina cost kukodisha?
or
kiasi gani ina cost kukodisha?
or
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Grader linalipa hata mimi niko mbioni kununua. Grader sio lazima liwe lipya hata la zamani na gharama ni sawa kwasababu kichwa cha scania ni kama $20,000 na tera $10,000 wakati grader ni $30000. Ku rent grader kwa siku TSH 400,000 wakati scnania kwa mwezi TSH 4,000,000 tu ukitoa gharama.

kwa nini uingereza?Fanya search kwenye dealer wa uingereza kwenye mitandao halafu wasiliana nao.