graduate ataanza na TGTS E kama laki 850,000/= na wataAdjust viseversa kama ulikua C unahamia D auto

TETESI KUTOKA KIKAO KATI YA BODI YA MISHAHARA YA SERIKALI NA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZOTE NCHINI; madaraja ya walimu yamerekebishwa graduate ataanza na TGTS E kama laki 850,000/= na wataAdjust viseversa kama

ulikua C unahamia D automaticaly na wa D anahamia E pia daraja kikomo H linasogezwa hadi J kama kada nyingine za utumishi.hongereni!

Hayawi hayawi sasa yamekuwa kilio cha walimu kimesikilizwa.moja.madaraja kuongezw.pili.kima cha chini 350000/= kuanzia april 30.posho ya mazingira magumu.kubwa zaidi nyongeza ya mishahara kwa 50% chanzo cha habari CELINA

KOMBANI.wataarifu wadau wengine. kwa maelezo zaidi wasiliana na katibu CWT.

thankou

Shida yetu walimu huwa tunadanganyika kwa kauli yaani naweza kusema tuko kama mwananmke malaya! Habari ikikorogwa kutupumbaza basi tunajipamba kwa kila maneno......, tujaribuni kuwa wapembuzi na watafiti kama taaluma yetu inavyotuelekeza sio kuropokaropoka tu bila kuwa na vyanzo kamili!!!! SERIKALI YA CCM HAIWEZI MABADILIKO YA RAPID KAMA HAYA TUNAYOJIDANGANYA HUMU NDANI!!!! TUPAMBANE WALIMU WENZANGU
 
Leo ni siku ya wajinga? Mbona kama naota,engineer mwenyewe haanzii kiwango hicho cha 850,000 japo daraja ni E pia!!!!
 
walimu mkiamua mnaweza tatizo mnasalitiana na njaa za msimu
 
TETESI KUTOKA KIKAO KATI YA BODI YA MISHAHARA YA SERIKALI NA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZOTE NCHINI; madaraja ya walimu yamerekebishwa graduate ataanza na TGTS E kama laki 850,000/= na wataAdjust viseversa kama

ulikua C unahamia D automaticaly na wa D anahamia E pia daraja kikomo H linasogezwa hadi J kama kada nyingine za utumishi.hongereni!

Hayawi hayawi sasa yamekuwa kilio cha walimu kimesikilizwa.moja.madaraja kuongezw.pili.kima cha chini 350000/= kuanzia april 30.posho ya mazingira magumu.kubwa zaidi nyongeza ya mishahara kwa 50% chanzo cha habari CELINA

KOMBANI.wataarifu wadau wengine. kwa maelezo zaidi wasiliana na katibu CWT.

thankou

inawezekana kweli MWALIMU kama ni kweli dala dala zitaanza kufika Kigamboni na wala si FERI KIVUKONI????

"WORKERS OF THE WORLD YOU HAVE TO UNITE THERE IS NOTHING TO LOSS BUT YOUR OWN CHAIN" Karl Max
 
mbna ntajifunza uwalimu kama ndo hvyo
 
mbona hamuamini? acheni kujidharau kwamba eti 850000 ni kubwa sana, kwani nyie mnataka sh.ngapi? poor waalimu wa tz yaani mnajidharau hivyo? bankteller form four felia anavuta 1.2m wewe na degree yako .....
 
Jana nilimsikia katibu mkuu wa chama cha walimu kuwa kuna ujumbe unazunguka kuwadanganya walimu ili kutibua ari ya kuhamasisha mgomo... Nadhani ni kiini macho
 
Ikiwa hivyo ualimu itakuwa dili kuliko fani nyingi nchini.
 
nafananisha uwalimu kama chizi aliyeyashika mavi hafu akayanusa nakusema yananuka bora nilivyoyashika kuliko ningeyakanyaga...!
 
mbona hamuamini? acheni kujidharau kwamba eti 850000 ni kubwa sana, kwani nyie mnataka sh.ngapi? poor waalimu wa tz yaani mnajidharau hivyo? bankteller form four felia anavuta 1.2m wewe na degree yako .....

Acha uwongo bwana nani kakwambia bankteller analipwa 1.2m?
 
ikiwa hivyo serikari ijitahidi ipunguze bei za vitu mabo yawe poa
 
TETESI KUTOKA KIKAO KATI YA BODI YA MISHAHARA YA SERIKALI NA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZOTE NCHINI; madaraja ya walimu yamerekebishwa graduate ataanza na TGTS E kama laki 850,000/= na wataAdjust viseversa kama

ulikua C unahamia D automaticaly na wa D anahamia E pia daraja kikomo H linasogezwa hadi J kama kada nyingine za utumishi.hongereni!

Hayawi hayawi sasa yamekuwa kilio cha walimu kimesikilizwa.moja.madaraja kuongezw.pili.kima cha chini 350000/= kuanzia april 30.posho ya mazingira magumu.kubwa zaidi nyongeza ya mishahara kwa 50% chanzo cha habari CELINA

KOMBANI.wataarifu wadau wengine. kwa maelezo zaidi wasiliana na katibu CWT.

thankou

Endelea kuota hivyohivyo ndugu yangu
 
Back
Top Bottom