Graduate Bsc.(ed) anaweza kusoma PGD ya udaktari?

Graduate Bsc.(ed) anaweza kusoma PGD ya udaktari?

KAGAYE NGARA

Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
18
Reaction score
1
jmn wanajf ..kama mtu ni graduate BSC.ED anaweza kusoma PGD Ya MD ? au ni kozi gani nzuri ukiachana na education??
 
jmn wanajf ..kama mtu ni graduate BSC.ED anaweza kusoma PGD Ya MD ? au ni kozi gani nzuri ukiachana na education??
 
kwa MD anza na bachelor degree tu...
 
kwa MD,engineerings,architecture n.k.anza tu na first degree maana haiwezekani kupiga pgd ukiwa na bsc ed
 
Back
Top Bottom