Graduate, diploma na cheti wanaenda JKT kwa mujibu wa sheria mwaka huu???

Graduate, diploma na cheti wanaenda JKT kwa mujibu wa sheria mwaka huu???

albinomweusi

Member
Joined
Jul 10, 2014
Posts
44
Reaction score
0
Wadau habari zenu.... embu tusaidiane na kujuzana kuwa graduate diploma na certificate wanaenda jkt kwa mujibu wa sheria na post zao zinatokea huko huko jeshini. Nimeckia diploma na certificate wameshathibitisha kwenda huko jkt
 
Sasa kama form 6 wanaenda jkt kwa mujibu basi na graduate watupeleke jwtz tukiridhia/tukihitaji!!
 
Ni kwel mkuu coz kuna dogo hapa mtaani kwet amepangwa jkt oljoro arusha
 
Nikweli hata mie mdogo wangu kapangiwa Tanga ana Certificate
 
Kwa dip na certificate ni kweli na majina yametoka . Mbona hata humu jf kuna uzi wenye majina hayo.
 
Kwa dip na certificate ni kweli na humu kuna uzi wenye hayo majina.
 
Hasa baadae ikifika kwa wenye Degree, itakuwa vipi maana tayari wahitimu wa kidato cha Sita wanapitia huko na wao ndio watakao kuwa wanachukua Degree mda huo.Je wataenda tena yaani mara ya pili?
 
Jamani hivi mwisho wa kuapply vyuo vya afya kwa dip na certificate umeisha alaf matokeo ya f6 ndo juzi yametoka ,, vipi jamaa wataongeza muda au ?? Mwenye taarifa tusaidiane wadau was jf
 
Hearsay evidence is not admissible as a general rule,tutafutie hiyo sheria tu na siku iloanza kutumika kwanza

soma uzi vizur uelewe uckurupuke kama haujackia hiyo inshu wache wengine watuambie kama kuna ukweli
 
Hasa baadae ikifika kwa wenye Degree, itakuwa vipi maana tayari wahitimu wa kidato cha Sita wanapitia huko na wao ndio watakao kuwa wanachukua Degree mda huo.Je wataenda tena yaani mara ya pili?

kwa wale ambao fm6 hawakwenda jkt na wamegraduate ndo tunazungumzia hapa..
 
Back
Top Bottom