Mkuu, tuambiane ni wapi huko niende nikajipendekeze kwa HR labda nami kwa mara ya kwanza nitaona umuhimu wa elimu yangu yangu?! Niliajiriwa NMB 2004 kama Teller kwa basic salary ya Sh.275,000/=!! Hadi Nov.2008 nikawa nalipwa Basic Salary ya Sh.509,000/=!! Sio siri, kwa salary kama hiyo huwezi kufanya chochote; hivyo nikachukua Loan; basi ikawa my net pay ni Sh.170,000(kisa tu nilichukua soft loan!). Nilipoomba nipandishwe grade coz' i worked as a teller for a long time, nikasukiwa zengwe la kuiba sh.640,000/=!! Ajabu, nilikuwa responsible na posting ya monthly government pension na gvt salary na hata branch manager alikuwa hajui kwa mwezi gvt wanaleta sh. ngapi na inarudi sh. ngapi; lakini badala ya kuiba mihela yote hiyo ambayo wala haikuwa na ulinzi wowote kwa upumbavu wao wakaamini nimeiba sh.640,000!!!! To be honesty, ningeweza kuiba millions of TZS bila mimi kujulikna kv nilikuwa nafanya posting kwa kutumia access(password) ya Mhasibu!!!B4 hawajafanya uchunguzi wowote, nikawekwa ndani na kulazimishwa ku-resign!!! Nilili-resign bila kuchelewa coz' sikuona chochote cha kupoteza (170k per month?!) Na hadi leo sija-regret. Big up Mr. Ole Loibangut and Magdalena Greyson wherever ua!! Hizo ndizo private firms zetu!!!