Habari za humu ndani wadau?nimeona kuna baadhi ya nchi huwa kuna makampuni yanatoa mafunzo kwa waliomaliza degree(graduate training program) na huwa ni 2yrs au 1yr,je vipi kwa Tanzania ni makampuni yapi yanatoa au je huko nje ninchi gani rahisi kupata? merci beaucoup