Graduate training programs

Graduate training programs

Islam005

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Posts
3,354
Reaction score
3,623
Habari za humu ndani wadau?nimeona kuna baadhi ya nchi huwa kuna makampuni yanatoa mafunzo kwa waliomaliza degree(graduate training program) na huwa ni 2yrs au 1yr,je vipi kwa Tanzania ni makampuni yapi yanatoa au je huko nje ninchi gani rahisi kupata? merci beaucoup
 
1. Tanzania Cigarrete Company(kuna wengine wameanza wengine bado hawajamaliza interview).
2. African Gold mining Barrick.
3. Daimond Trust Bank.
 
Thanks mkuu,vipi upatikanaji wake?matokeo yanahusika na kuapply inakuwaje? Sorry kwa maswali mengi
 
makampuni yapo mengi hasa makampuni ya kimataifa..shida moja kwa wanafunzi wa kitanzania bado hawajandaliwa vyema kuingia kwenye ushindani katika soko la utandawazi kiajira..kama unavigezo na umebahatika kusoma katika nchi za ulimwengu wa kwanza inbox nikupe connection ukafanye..
 
mwana na mimi nina shida kama hiyo hiyo, naomba uni inbox
 
Back
Top Bottom