Graduate wa chuo, tafuta documents zifuatazo omba passport ya kusafiria nenda Ulaya ukapate ramani ya maisha yako

Sawa mkuu, mimi sio mmoja kati yenu mnaoamini katika miujiza. Mimi naamini katika mipango thabiti, ndipo hupatikana matokeo sahihi.
Kuna wenzangu walipata nafasi ya kuingia China, hawakuwa hata na senti, lakini tarehe ya safari ilipofika walipanda ndege hadi Dubai, wakaenda mpaka Shanghai kesho yake wakadamkia Beijing mpaka maisha yao yalishabadilika.
 
Mtoa mada umetoa wazo zuri lakini ulichokosea ni kufanya mjumuisho maana mambo ya safari ni passion sio kila mtu ni baharia/msafiri. Ninawajua watu waliopata chance za kwenda kusoma US na baada ya masomo wakarudi bongo and kuna waliotimka na mialiko ya uongo na kweli na mpaka leo hawajawahi kanyaga bongo. So sio kila mtu ni msafiri mzee.
 
Ni kufuata sheria tu passport ni laki na nusu, tuachane na njia za mkato.
Shida yako ni nini hiyo sheria si ufate mwenyewe...? Chamsingi upate passport mimi niko busy siwezi kuanza kutafuta mpaka birth certificate za wazazi wangu mara viapo mahakamani hujakaa sawa barua za watendaji mara dhumuni la kusafiri aisee huo muda sina ila kama unaomuda wa kuyafanya hayo wewe fanya tu.
 
Mada kuu ni vijana wawe na passport maana huwezi jua muda wowote unaweza pata chance.
 
Lakini mkuu nimeandika graduates sijatag wewe. Anaweza kuwa ni graduate mwingine wala sio wewe. Wapo wanaohitaji ndio hao ambao hili bandiko linawalenga mkuu wala usiumize kichwa na hili jukwaa letu huru.
 
Halafu nilikuwa sijaangalia Jina lako
Kumbe hohehahe sasa nauli ya Santorini unapata wapi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜†
Endelea kuwatafsiri watu kwa Username zao za JF... unajua kwamba yupo Zayed Bakhresa humu?! Unajua Username yake?! πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Unajua yupo Ridhwaan JK humu?! Unajua Username yake?! Na watoto wa the late Mufuruki je?! Unajua username zao?! 😊😊😊

Keep judging books by-their covers πŸ˜ŠπŸ‘πŸΎ
 
Sawa bakhresa nmejifunza πŸ˜‡
 
Wabongo kwa kujipiga pini, sasa unataka kutafuta nauli na huna passport, unataka connection ya kwenda mbele na huna passport?

Tafuta kwanza passport alafu fursa ikija unaruka nayo, kuliko fursa ije ndo uanze kunifanya unakata passport haraka haraka.

Kuna wana walishawahi kosa safari za bure kabisa kisa hawana passport, wakaishia kupewa mitablet na simu.

Hapo ndipo nikapata akili ya kutafuta passport yangu mapema, na kweli, nikaanza kuona najiamini hata kutafuta connection za kwenda nje.

Fursa ikijitokeza naruka nayo kama spiderman.
 
Ni changamoto sana na unaweza kuwa na hivyo vyote na bado ukakosa .yani nchi hii hatari sana yani nimepewa ukimbizi wa kulazimishwa kisa mzazi hajajieleza vizuri.nimezaliwa hapa wazazi pia lkn nimekosa passport kisa wazazi kwao ni kigoma na tayari niliomba chuo China wamenikubaria na wameshanitumia barua lkn nimekosa passport nimeambiwa uraia wangu haujakamilika .ndugu zangu usiona kijana anatumia madawa ya kulevya,pombe sana au kuwa panya road au mhalifu au kuwa gaidi sikwamba anapenda ila ukweli nchi yetu inachangia sana vijana kuhalibika na kupoteza ndoto zao kwa mambo ya kibinafisi.inaniuma sana tena sana nchii hii imejaa rushwa ,ubinafisi .nimekosa passport kisa wazazi hawajui kujieleza vizuri na kila kitu ninacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…