Graduate wa chuo, tafuta documents zifuatazo omba passport ya kusafiria nenda Ulaya ukapate ramani ya maisha yako

Stress za biashara bongo ni Bora ukabebe box juu au uende sauzi kafungue duka japo usalama ni ishu
Sauz kuna hela ila usalama ni changamoto, kidogo capetown sio location lakini am talking abt CBD kuna usalama wa kutosha japo life ni expensive sana. Studio room tu frm 4000 mpaka 7000rands/month.
 
Kwamba wewe ni mrundi?
 
Haya kafirwe ukalale
Unajiona mjanja kutumia matusi.

Kumbe kichwani mwako kuna Funza na Mafinyo finyo.

Huwezi kujenga hoja zaidi ya uozo uliopo kichwani mwako

Wazazi wako waliuza ng'ombe kupeleka ng'ombe nyingine shule.
 
Umeongea vizuri Sana kijana mhitimu mtatofautiana sehemu kadhaa
1.Ukitaka kuchukua scholarship lazima uwe na lengo fulani(target) uliyojipangia.
2.Pesa:Yaani hayo yote yanaweza kuwa bure ikiwa pesa haipooo,huwezi kukurupuka tu unaanza kuapply kama huna msingi mzuri, taarifa sahihi na uwezo wako kiuchumi ni low.
3.Interest:Kuna vijana wengi amabo wanaimani mafanikio huhitaji muda kuyafikia hivyo wanaweza wakapambana na kuongeza bidii hapa hapa nchini na wakatoboa
 
Umetafutia wapi passport kama mkoani mambo huwa mengi na kona kona njoo dar ukiona afisa anazingua beba mzazi na fomu iliyojazwa vizuri na viambatanishi ingia kwa in-charge mzazi ajieleze au unaingia wewe mwenyewe kwa in-charge jieleze usiogope yeye binafsi atakuhoji maswali mawili matatu kujiridhisha kisha atakupa go ahead.
Watumishi wengi wa chini ni wasumbufu sana kwenye sehemu za huduma wanapenda tengeneza mazingira wapate pesa.
 
Kuzaliwa bongo Sio tiketi ya kuwa raia labda Kama babu na bibi zako wote wamezaliwa bongo.
Wengi hawajui kimbembe huja wakienda omba passport uelewa wakishachelewa wakati hitaji la safari lipo mlangoni
Kama kulikuwa na ukakasi angepitia njia hii kwanza, tatizo letu tunatafuta passport tukiwa na shida nayo ya haraka ndipo tunapopata vikwazo.
Uraia wa Tanzania kwa Tajinisi:
Mtu yeyote ambaye siyo raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuzaliwa au kurithi anaweza kuomba uraia wa Tanzania kwa tajnisi kwa mujibu wa vifungu Na.8 na 9(1) vya Sheria ya Uraia ya 1995. Kwa mujibu wa Sheria hiyo, Mhe. Waziri mwenye dhamana ya kusimamia masuala ya uraia nchini (kwa sasa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi) ndiye mwenye mamlaka ya mwisho kutoa au kutotoa uraia wa Tanzania kwa wageni walioomba uraia.
 
Ukishamilisha yote hayo unasubiri upae pipa unaambiwa bank account yako sharti isome 5M
Ndo utajua kwanini muwa huwez tumia kama mkongojo
 
Unajua maelezo ya maneno ni mepesi sana ila nisiwafiche ndugu zangu kama huna connection na hela ya maana hutoboi na hata tuseme ukitoboa utakuwa umepitia mambo mengi mno mabaya, Anza kwanza kutengeneza connections ili kila kitu kikae mahali pake yaani uwe na uhakika safari inaanza vip na inaisha vipi ndipo utafute hizo nyaraka... Kupata nyaraka sio jambo gumu ukiwa na hela ya kupooza watu ila huko unapotaka kwenda mkuu unafikia wapi? Je, ni shughuli gani utaenda kufanya maana hata kuajiriwa kule wana taratibu zao za masuala hayohayo ya mara mdhamini n.k.... Maisha sio marahisi wakuu, Hata wazamiaji wana connections ndo sembuse wewe unaetaka kwenda in proper way!!!
 
Acha uongo mkuu mbona watu wanakwenda kila siku.
 
Mimi ninaamini maisha mazuri yapo hapa hapa bongo, tuliza akili angalia fursa zitakazo kupa maokoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…