NOHEMBRE
Member
- Mar 13, 2020
- 26
- 30
Umewaza mbaliHivyo vyote atapata.... mchawi nauli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewaza mbaliHivyo vyote atapata.... mchawi nauli
Sauz kuna hela ila usalama ni changamoto, kidogo capetown sio location lakini am talking abt CBD kuna usalama wa kutosha japo life ni expensive sana. Studio room tu frm 4000 mpaka 7000rands/month.Stress za biashara bongo ni Bora ukabebe box juu au uende sauzi kafungue duka japo usalama ni ishu
Mpumbavu aki ishiwa hoja hutumia matusi kama silaha ya kujilinda.Unataka kufirwa??
Kaa mbali sana na Mimi, wewe shoga
Haya kafirwe ukalaleMpumbavu aki ishiwa hoja hutumia matusi kama silaha ya kujilinda.
Huwezi kujenga hoja zaidi ya ushoga ulionao.
Kwamba wewe ni mrundi?Ni changamoto sana na unaweza kuwa na hivyo vyote na bado ukakosa .yani nchi hii hatari sana yani nimepewa ukimbizi wa kulazimishwa kisa mzazi hajajieleza vizuri.nimezaliwa hapa wazazi pia lkn nimekosa passport kisa wazazi kwao ni kigoma na tayari niliomba chuo China wamenikubaria na wameshanitumia barua lkn nimekosa passport nimeambiwa uraia wangu haujakamilika .ndugu zangu usiona kijana anatumia madawa ya kulevya,pombe sana au kuwa panya road au mhalifu au kuwa gaidi sikwamba anapenda ila ukweli nchi yetu inachangia sana vijana kuhalibika na kupoteza ndoto zao kwa mambo ya kibinafisi.inaniuma sana tena sana nchii hii imejaa rushwa ,ubinafisi .nimekosa passport kisa wazazi hawajui kujieleza vizuri na kila kitu ninacho
Unajiona mjanja kutumia matusi.Haya kafirwe ukalale
Madai yao ndo wanasema hivyoKwamba wewe ni mrundi?
Umeongea vizuri Sana kijana mhitimu mtatofautiana sehemu kadhaaMchanganuo wa Nyaraka za zinazohitajika kwa anayetafuta Pasipoti ya Kusafiria Kwa Safari ya Ulaya na Kuweka Mipango ya Maisha.
Kabla ya kuanza safari yako ya Ulaya na kuanza hatua mpya ya maisha yako, unahitaji kuwa na nyaraka sahihi zinazohitajika wakati wa kuomba pasipoti ya kusafiria. Hizi ni nyaraka ambazo unaweza kuhitajika kuwasilisha ili kuhakikisha kuwa maombi yako ya pasipoti yanapokelewa. Nyaraka hizi ni kama ifuatavyo:
Ukiwa na nyaraka hizo, unaweza kuwa na uhakika kwamba maombi yako ya pasipoti ya kusafiria yatafanikiwa.
- Barua ya Uthibitisho kutoka kwa Afisa Mtendaji wa Kata/Mtaa kwa Mzazi/Mlezi Asiyeajiriwa: Barua hii inathibitisha uhusiano wako na mzazi/mlezi asiyeajiriwa na inaonyesha idhini yao kwa safari yako ya Ulaya. Inaweza kuhitajika kwa ajili ya kudhibitisha utambulisho wa familia yako.
- Barua ya Kujiunga na Shule/Chuo: Barua hii inaonyesha kuwa unakusudia kuendelea na elimu yako baada ya kuhitimu chuo. Inaonyesha nia yako ya kukuza elimu yako na inaweza kuwa na athari chanya katika maombi yako ya pasipoti.
- Cheti/Kiapo cha Kuzaliwa cha Mzazi wa Mwombaji: Cheti au kiapo cha kuzaliwa cha mzazi wako kinaweza kutumika kudhibitisha uhusiano wa kifamilia na mzazi wako. Ni sehemu muhimu ya nyaraka za kuthibitisha utambulisho wako.
- Cheti/Kiapo cha Kuzaliwa cha Mwombaji: Cheti au kiapo chako cha kuzaliwa kinathibitisha tarehe yako ya kuzaliwa na utambulisho wako binafsi. Ni nyaraka muhimu katika mchakato wa kuomba pasipoti.
- Kadi ya Mpiga Kura ya Mzazi/Mlezi: Kadi ya mpiga kura ya mzazi/mlezi inaweza kutumika kuthibitisha utambulisho wao na pia kuonyesha msaada wao kwa safari yako ya Ulaya.
- Barua ya Utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Afisa Mtendaji wa Kata: Barua hii inaonyesha utambulisho wako kutoka kwa mamlaka ya serikali ya mtaa au afisa mtendaji wa kata. Inaweza kuwa na athari nzuri katika kuthibitisha utambulisho wako.
- Kitambulisho cha Taifa cha Mzazi/Mlezi: Kitambulisho cha taifa cha mzazi/mlezi kinathibitisha utambulisho wao kama raia. Ni nyaraka muhimu kwa kudhibitisha uhusiano wa kifamilia.
- Vyeti vya Elimu (Shule/Chuo): Vyeti vya elimu vinavyothibitisha mafanikio yako ya kitaaluma katika shule au chuo. Vinaweza kuonyesha juhudi zako za kujifunza na uwezo wako wa kufikia malengo.
- Fomu ya Maombi ya Pasipoti: Fomu hii inayojazwa kwa usahihi na taarifa zote muhimu kuhusu maombi yako. Inapaswa kuwa kamili na sahihi ili kuhakikisha kuwa mchakato wako wa kuomba pasipoti unakwenda vizuri.
Hata usipo ingia Ulaya unaweza kuingia CHINA, US, SOUTH KOREA, INDIA kokote kapate exposure uje na ramani.
Kwa wale wanaotafuta scholarship:
1. Tafuta passport kwanza. Iscan ihifadhi kwa mfumo wa softcopy.
2. Andaa vyeti vyako vyote vya taaluma vicertify, scan vihifadhi kwa mfumo wa softcopy.
3. Andaa transcript zako zicertify, ziscan zihifadhi kwa mfumo wa softcopy.
4. Andaa recommendation/reference letters kutoka kwa professors/Drs
5. Andaa academic CV nzuri
6. Kisha anza kujaza form za scholarship usiku na mchana bila kuchoka.
Scholaship ni award kama award zingine anayeshinda ndio hupewa. Acha kuogopa. Watu huapply scholarship hadi 50 na kufanikiwa kupata moja ya kuingia US. au UK. Hivyo usiogope jiweke tayari maisha ya mafanikio ni vita. Scholarship sio TCU.
SAFARI NJEMA
Umetafutia wapi passport kama mkoani mambo huwa mengi na kona kona njoo dar ukiona afisa anazingua beba mzazi na fomu iliyojazwa vizuri na viambatanishi ingia kwa in-charge mzazi ajieleze au unaingia wewe mwenyewe kwa in-charge jieleze usiogope yeye binafsi atakuhoji maswali mawili matatu kujiridhisha kisha atakupa go ahead.Baada ya mzazi kushindwa kujieleza vizuri basi jamaa wa uhamiaji akaona ndo frusa ya kupata pesa akaniambia nimpe M1 kama sina niombe uraia .mm nikamwambia sina na nitaombajr uraia na wakati nimezaliwa hapa tz na documents zote nazo. BC jamaa ndo akachukua frusa hii kunikandamiza zaidi akapeleka paka kwa PCO documents zangu kwamba mm uraia haujakamilika.badae utasikia vijana hawachangamkii frusa wakati nchi ndo inakua ya kwanza kuwakatisha tamaa vijana.Leo unanifanyia hivi je kesho unajua mm nitakuwa nani? Ndo maana magu akawa na hasira sana sabab hapo mwanzo kuna watu walimfanyia unyama
Kama kulikuwa na ukakasi angepitia njia hii kwanza, tatizo letu tunatafuta passport tukiwa na shida nayo ya haraka ndipo tunapopata vikwazo.Kuzaliwa bongo Sio tiketi ya kuwa raia labda Kama babu na bibi zako wote wamezaliwa bongo.
Wengi hawajui kimbembe huja wakienda omba passport uelewa wakishachelewa wakati hitaji la safari lipo mlangoni
Bank statement zinakodoshwaUkishamilisha yote hayo unasubiri upae pipa unaambiwa bank account yako sharti isome 5M
Ndo utajua kwanini muwa huwez tumia kama mkongojo
AhhahahahNakazia, unakuta nauli ni mtaji Tisha wa kupambania apa apa bongo
Acha uongo mkuu mbona watu wanakwenda kila siku.Unajua maelezo ya maneno ni mepesi sana ila nisiwafiche ndugu zangu kama huna connection ya maana hutoboi, Anza kwanza kutengeneza connection ili kila kitu kikae mahali pake yaani uwe na uhakika safari inaanza vip na inaisha vipi ndipo utafute hizo nyaraka... Kupata nyaraka ni sio jambo gumu ukiwa na hela ya kupooza watu ila huko unapotaka kwenda mkuu unafikia wapi? Je, ni shughuli gani utanda kufanya maana hata kuajiriwa kule wana taratibu zao za masuala hayohayo ya mara mdhamini, mara green card, n.k
Mimi ninaamini maisha mazuri yapo hapa hapa bongo, tuliza akili angalia fursa zitakazo kupa maokoto.Mchanganuo wa Nyaraka za zinazohitajika kwa anayetafuta Pasipoti ya Kusafiria Kwa Safari ya Ulaya na Kuweka Mipango ya Maisha.
Kabla ya kuanza safari yako ya Ulaya na kuanza hatua mpya ya maisha yako, unahitaji kuwa na nyaraka sahihi zinazohitajika wakati wa kuomba pasipoti ya kusafiria. Hizi ni nyaraka ambazo unaweza kuhitajika kuwasilisha ili kuhakikisha kuwa maombi yako ya pasipoti yanapokelewa. Nyaraka hizi ni kama ifuatavyo:
Ukiwa na nyaraka hizo, unaweza kuwa na uhakika kwamba maombi yako ya pasipoti ya kusafiria yatafanikiwa.
- Barua ya Uthibitisho kutoka kwa Afisa Mtendaji wa Kata/Mtaa kwa Mzazi/Mlezi Asiyeajiriwa: Barua hii inathibitisha uhusiano wako na mzazi/mlezi asiyeajiriwa na inaonyesha idhini yao kwa safari yako ya Ulaya. Inaweza kuhitajika kwa ajili ya kudhibitisha utambulisho wa familia yako.
- Barua ya Kujiunga na Shule/Chuo: Barua hii inaonyesha kuwa unakusudia kuendelea na elimu yako baada ya kuhitimu chuo. Inaonyesha nia yako ya kukuza elimu yako na inaweza kuwa na athari chanya katika maombi yako ya pasipoti.
- Cheti/Kiapo cha Kuzaliwa cha Mzazi wa Mwombaji: Cheti au kiapo cha kuzaliwa cha mzazi wako kinaweza kutumika kudhibitisha uhusiano wa kifamilia na mzazi wako. Ni sehemu muhimu ya nyaraka za kuthibitisha utambulisho wako.
- Cheti/Kiapo cha Kuzaliwa cha Mwombaji: Cheti au kiapo chako cha kuzaliwa kinathibitisha tarehe yako ya kuzaliwa na utambulisho wako binafsi. Ni nyaraka muhimu katika mchakato wa kuomba pasipoti.
- Kadi ya Mpiga Kura ya Mzazi/Mlezi: Kadi ya mpiga kura ya mzazi/mlezi inaweza kutumika kuthibitisha utambulisho wao na pia kuonyesha msaada wao kwa safari yako ya Ulaya.
- Barua ya Utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Afisa Mtendaji wa Kata: Barua hii inaonyesha utambulisho wako kutoka kwa mamlaka ya serikali ya mtaa au afisa mtendaji wa kata. Inaweza kuwa na athari nzuri katika kuthibitisha utambulisho wako.
- Kitambulisho cha Taifa cha Mzazi/Mlezi: Kitambulisho cha taifa cha mzazi/mlezi kinathibitisha utambulisho wao kama raia. Ni nyaraka muhimu kwa kudhibitisha uhusiano wa kifamilia.
- Vyeti vya Elimu (Shule/Chuo): Vyeti vya elimu vinavyothibitisha mafanikio yako ya kitaaluma katika shule au chuo. Vinaweza kuonyesha juhudi zako za kujifunza na uwezo wako wa kufikia malengo.
- Fomu ya Maombi ya Pasipoti: Fomu hii inayojazwa kwa usahihi na taarifa zote muhimu kuhusu maombi yako. Inapaswa kuwa kamili na sahihi ili kuhakikisha kuwa mchakato wako wa kuomba pasipoti unakwenda vizuri.
Hata usipo ingia Ulaya unaweza kuingia CHINA, US, SOUTH KOREA, INDIA kokote kapate exposure uje na ramani.
Kwa wale wanaotafuta scholarship:
1. Tafuta passport kwanza. Iscan ihifadhi kwa mfumo wa softcopy.
2. Andaa vyeti vyako vyote vya taaluma vicertify, scan vihifadhi kwa mfumo wa softcopy.
3. Andaa transcript zako zicertify, ziscan zihifadhi kwa mfumo wa softcopy.
4. Andaa recommendation/reference letters kutoka kwa professors/Drs
5. Andaa academic CV nzuri
6. Kisha anza kujaza form za scholarship usiku na mchana bila kuchoka.
Scholaship ni award kama award zingine anayeshinda ndio hupewa. Acha kuogopa. Watu huapply scholarship hadi 50 na kufanikiwa kupata moja ya kuingia US. au UK. Hivyo usiogope jiweke tayari maisha ya mafanikio ni vita. Scholarship sio TCU.
SAFARI NJEMA
Bright and Genius Editors
Ni waandishi na wahariri wa documents mbalimbali
Tovuti: www.bgeditors.com
Barua pepe: contact@bgeditors.com
Namba ya simu/Whatsapp: +255687746471/+255612607426
Wanaenda kutalii, kufanya kazi, kufanya show, ku-volunteer, au kusoma? Maana application ya Visa zipo kwenye categories tofautofauti na si kila anaeenda huko anakibali cha kwenda kufanya makaziAcha uongo mkuu mbona watu wanakwenda kila siku.