Graduate wa chuo, tafuta documents zifuatazo omba passport ya kusafiria nenda Ulaya ukapate ramani ya maisha yako

Graduate wa chuo, tafuta documents zifuatazo omba passport ya kusafiria nenda Ulaya ukapate ramani ya maisha yako

Hivyo vyote atapata.... mchawi nauli
2F140581-B212-411D-8A26-013B52A89549.jpeg
 
Endelea kuwatafsiri watu kwa Username zao za JF... unajua kwamba yupo Zayed Bakhresa humu?! Unajua Username yake?! [emoji2][emoji2][emoji2]

Unajua yupo Ridhwaan JK humu?! Unajua Username yake?! Na watoto wa the late Mufuruki je?! Unajua username zao?! [emoji4][emoji4][emoji4]

Keep judging books by-their covers [emoji4][emoji1474]

Emu kwenda uko acha kutisha watu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukweli mchungu huu... Bongo ramani hazisomi kabisa [emoji23]
 
Mimi naona mlolongo wa kupata Passport kwa nchi yetu ni mrefu mno! Nyaraka zote hizo za nini?
 
Nendeni kisenge senge, mtaishia kuwa mashoga tu mfirwe.


 
Back
Top Bottom