Graduate wa Tanzania kutokuajirika nini tatizo?

Mwankole

Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
84
Reaction score
26
Tokea nimezaliwa miaka 29 iliyopita nimekuwa nikiusikia huu wimbo kuwa graduate wengi wa Tanzania hawana soko kimataifa kwa ufupi hawaajiriki. lkn pia kuna msemo maarufu unaosema graduate waliosoma vyuo vingine ukitoa UDSM, UDOM, Mzumbe nao hawaajiriki. tatizo hapa ni nini? kwa mfano Mim niligraduate UDSM mwaka 2009, namshukuru Mungu kwani hata kabla sijagraduate tayari nilishaanza kutumia skills na maarifa niliyokuwa nikipata chuo kwa kufanya kazi kwenye makampuni ili nipate experience, nilipohitimu masomo yangu sikuona haja ya kugombania nafasi za kazi zinazotangazwa magazetini, bali nilijiajiri mwenyewe. washkaji niliohitimu nao bado wengi wao wanasotea ajira mtaani lkn pia wengine wawili nimewaajiri kwenye kampuni yangu.. kwa mtazamo wangu vijana wasipobadili mtazamo, fikra na kutumia vyema maarifa wanayoyapata basi vijana watakuwa mzigo kwa taifa lkn pia wahanga hasa katika EAC. Hata usome UDSM, UDOM, SAUT n.k Usipojitambua na kutumia vyema maarifa na skills itakuwa ni kazi bure.
 
tatizo ni kuwa kila graduate anafikiria kuajiriwa sasa kama wote tunataka ajiriwa nani atatengeneza ajira. Naomba kupata experience yako ya kwenye biashara itasaidia kumotivate watu pamoja na mimi
 
Watu wengi TZ wanagraduate huku wakiwa na IQ ndogo sana...
 
Half-baked,hata barua ya maombi ya kazi ni vichekesho vitupu...eti graduate nayeandika "I am finished my degree program university course....blah bla,anaajirika kweli?
 
Tokea nimezaliwa miaka 29 iliyopita nimekuwa nikiusikia huu wimbo kuwa graduate wengi wa Tanzania hawana soko kimataifa kwa ufupi hawaajiriki. lkn pia kuna msemo maarufu unaosema graduate waliosoma vyuo vingine ukitoa UDSM, UDOM, Mzumbe nao hawaajiriki. tatizo hapa ni nini? kwa mfano Mim niligraduate UDSM mwaka 2009, namshukuru Mungu kwani hata kabla sijagraduate tayari nilishaanza kutumia skills na maarifa niliyokuwa nikipata chuo kwa kufanya kazi kwenye makampuni ili nipate experience, nilipohitimu masomo yangu sikuona haja ya kugombania nafasi za kazi zinazotangazwa magazetini, bali nilijiajiri mwenyewe. washkaji niliohitimu nao bado wengi wao wanasotea ajira mtaani lkn pia wengine wawili nimewaajiri kwenye kampuni yangu.. kwa mtazamo wangu vijana wasipobadili mtazamo, fikra na kutumia vyema maarifa wanayoyapata basi vijana watakuwa mzigo kwa taifa lkn pia wahanga hasa katika EAC. Hata usome UDSM, UDOM, SAUT n.k Usipojitambua na kutumia vyema maarifa na skills itakuwa ni kazi bure.

Hili tatizo la kujiajiri au kutafuta ajira si la Tanzania peke yake ni la dunia nzima...Kuna tofauti sana za kimazingira ambazo zinachangia sana kutoona fursa za kujiajiri,kuna mitaji na changamoto nyingi sana pia na UOGA upo.

Kuna hii thread https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-biashara-na-uchumi/701838-wale-wote-mliofanikiwa-kwenye-biashara-na-watafutaji-pitieni-hapa.html si vibaya ukaipitia then ukaeleza namna ulivyofanikia ili Money Stunna akipata muda aweze ku-compile zote alizopata na kurusha humu
 
Half-baked,hata barua ya maombi ya kazi ni vichekesho vitupu...eti graduate nayeandika "I am finished my degree program university course....blah bla,anaajirika kweli?

Mtu kahitimu chuo kikuu alafu anashindwa kuandika barua ya kuomba kazi, haya ni majanga! ina maana yeye kashindwa hata kuangalizia barua za watu wengine ili apate japo ujuzi kidogo au kumfuata mwenye uelewa akamwelekeza jinsi ya kufanya! huu ni uzembe. mtu kama huyu kweli haajiriki. hata kama akiajiriwa, uzembe uleule uliomfanya ashindwe hata kuandika barua, ndio utaomfanya aharibu hata kazi atayopewa.
 
Unajua maana ya IQ mzee na maana yake na hutumiaka kaika mazingira gani?

Why not? Huo ndio ukweli, misingi ya elimu yetu bado ni duni. Wengi hatuwezi fikiria deep and behind the scene.
 
hata nchi kama Nigeria wapo wengi tu hawana ajira sema exposure inasaidia sana kwa wenzetu na tukubali tukatae lugha ni factor kubwa pia,lakini hata kwenye mazoezi ya vitendo wanafunzi wa kitanzania bado hawapewi mazoezi inavyostahili ila sehemu nyingi wanaachwa wenyewe wajifundishe field na mwisho wa siku wakitoka field wote wana A's ama B+'s wakati katika uharisia alitakiwa apate karai ...kwa trend hii unategemea nini na unadhani nchi inaelekea wapi?
 
Watu wengi TZ wanagraduate huku wakiwa na IQ ndogo sana...

Iq Haipatikan Kwa Kuxoma Hata Kama Ukixoma Miaka Elfu Kumi Utabak Kuwa Na Iq Ile Ile. Iq Ni Inborn Na Huwez Kuipata Baada Ya Kuzaliwa Ni Unazaliwa Nayo. Xo Uxceme "Wanagraduate Huku Wana Iq Ndogo". Unakoxea Mkuu.
 
Wewe lazima utakuwa div 5 tu? Nsjuhakikishia, kabla ya ujio wa div 5 hakukuwa na huu utumbo ulioandika.
Shikamoo div 5.
 
Wewe kweli ni pure Big Results Now product. Akili yako ni ndogo sana
 
Tokea nimezaliwa miaka 29 iliyopita nimekuwa nikiusikia huu wimbo kuwa graduate wengi wa Tanzania hawana soko kimataifa kwa ufupi hawaajiriki. lkn pia kuna msemo maarufu unaosema graduate waliosoma vyuo vingine ukitoa UDSM, UDOM, Mzumbe nao hawaajiriki. tatizo hapa ni nini? kwa mfano Mim niligraduate UDSM mwaka 2009, namshukuru Mungu kwani hata kabla sijagraduate tayari nilishaanza kutumia skills na maarifa niliyokuwa nikipata chuo kwa kufanya kazi kwenye makampuni ili nipate experience, nilipohitimu masomo yangu sikuona haja ya kugombania nafasi za kazi zinazotangazwa magazetini, bali nilijiajiri mwenyewe. washkaji niliohitimu nao bado wengi wao wanasotea ajira mtaani lkn pia wengine wawili nimewaajiri kwenye kampuni yangu.. kwa mtazamo wangu vijana wasipobadili mtazamo, fikra na kutumia vyema maarifa wanayoyapata basi vijana watakuwa mzigo kwa taifa lkn pia wahanga hasa katika EAC. Hata usome UDSM, UDOM, SAUT n.k Usipojitambua na kutumia vyema maarifa na skills itakuwa ni kazi bure.

mkuu kampuni gani hiyo nkimaliza nije kujiajiri
 
Mtazamo wangu ni kwamba, ajira zina competition kubwa na kwa hiyo uwezo wa ku-compete ndo utakuwezesha kuajiriwa. lakini pia uwezo wa kumudu mazingira ya kazi ndo utakusaidia kuendelea mbele (growing) sehemu ya kazi na kufanya waajiri mbali mbali watamani kupata mtu mwenye skills kama wewe au hata mwajiri wako asitamani kukuachia.
Ajira pia ni njia mojawapo kutengeneza network itakayakusaidia badae kama utaamua kujiajiri.
Kama unadhani uwezo wako wa kushindana kutafuta ajira ni mdogo (hii ni taswira ya output ya vyuo vingi kwa sasa) basi ni bora uanze kujipanga kujiajiri. la kukumbuka ni kwamba kujiajiri ni kazi ngumu pia pengine kuliko hata kuajiriwa.
Mfano, kule kazini unaweza kutegea na ukiwa na mwajiri ambaye hafuatilii sana utendaji kazi wa watu wake, you can get away with it mna ukapata mshahara wako. Lakini kama umejiajiri mathalani kwenye mradi wa kuuza chakula ama kufyatua matofali, siku ukizembea kidogo mkono hauendi kinywani na biashara yako itakufa huku unaangalia.
kwa hiyo kazi zote, za kuajiriwa ama kujiajiri zinahitaji commitment ya muhusika kama unataka ikufikishe mbali. Hapa sizungumzii zile za "mission town" za kupiga porojo. namanisha zile genuine cases only.
kazi zote zinahitaji skills ambazo vyuo vyetu vingi havitoi. chuo/shule zetu zinafundisha general concepts tu ambazo kuziweka kwenye mazoezi ni kazi ingine ngumu sana.
Kwa hiyo basi, kwa namna yoyote itakavyokuwa, kuajiriwa ama kujiajiri ni zote ni kazi na zote pia zahitaji skills ambazo mhusika ni lazima azitafute deliberately huku akifanya ile elimu ya chuo. how? talk to people wa mtaani, pitia huku kwenye blogs na social forums, observe, omba chance ya kushiriki kufanya bila malipo mahali flani, soma stories za waliofanikiwa, jaribu namna nyingi. tafuta skills nyingi kama customer service (hii ni ile lugha nzuri kwa wateja), usafi, basic financial skills (hii itasaidia kutunza hesabu zako mwenyewe na kuhakikisha huli mtaji), communication skills (mawasiliano ndo kila kitu hasa written maana inaacha mark ama audit trail), team work (wengi wetu tunakwama mahali kwa vile tunapenda individualism). na zaidi ya yote tamani kila siku ku-improve your self. kila siku jifunze skill mpya na uifanyie kazi, uwe na uwezo wa kufanya zaidi kwa muda ule ule au kufanya kitu kile kile kwa muda kidogo
Cha mwisho kwa sasa, fahamu kwamba mazingira yanabadilika, technologia inabadilika, mahitaji ya watu na hali ya mazingira inabadilisha how we work. hata ukiajiriwa ama ukijiajiri ni hivyo hivyo. For you to remain relevant, ni lazima ubadilike kulingana na mazingira. Mfano; internet cafe zilikuw maarufu sana miaka ya mwanzoni mwa 2000, lakini unaona sa hivi kila mtu ana internet mkononi. jana nilikuwa mahali fulani watu wakawa wanalalamika kwamba mpambaji wa ukumbi katumia baloons kupamba wakati hiyo imepitwa na wakati, watu wanatumia roses. hiyo ni mifano miwili kwamba change ipo na inatu-affect wote. To remain relevant, whether tumeajiriwa ama kujiajiri ni lazima twende na pace ya mabadiliko.
 
Half-baked,hata barua ya maombi ya kazi ni vichekesho vitupu...eti graduate nayeandika "I am finished my degree program university course....blah bla,anaajirika kweli?

Acha kasumba bhana mtu wa say wild life management ye kuandika barua kunamkoseshaje sifa???!!!
Kama waajiri ni kama wewe bado mna slave mentality!!!!!!
Wakati mtu wa sales anatakiwa kuwa na leseni ni sababu inamsaidia kutembea na usafiri huko kwenye masoko!!!!

Vigezo vingine ni vya kijjinga tu!!!!
 
Tokea nimezaliwa miaka 29 iliyopita nimekuwa nikiusikia huu wimbo kuwa graduate wengi wa Tanzania hawana soko kimataifa kwa ufupi hawaajiriki. lkn pia kuna msemo maarufu unaosema graduate waliosoma vyuo vingine ukitoa UDSM, UDOM, Mzumbe nao hawaajiriki. tatizo hapa ni nini? kwa mfano Mim niligraduate UDSM mwaka 2009, namshukuru Mungu kwani hata kabla sijagraduate tayari nilishaanza kutumia skills na maarifa niliyokuwa nikipata chuo kwa kufanya kazi kwenye makampuni ili nipate experience, nilipohitimu masomo yangu sikuona haja ya kugombania nafasi za kazi zinazotangazwa magazetini, bali nilijiajiri mwenyewe. washkaji niliohitimu nao bado wengi wao wanasotea ajira mtaani lkn pia wengine wawili nimewaajiri kwenye kampuni yangu.. kwa mtazamo wangu vijana wasipobadili mtazamo, fikra na kutumia vyema maarifa wanayoyapata basi vijana watakuwa mzigo kwa taifa lkn pia wahanga hasa katika EAC. Hata usome UDSM, UDOM, SAUT n.k Usipojitambua na kutumia vyema maarifa na skills itakuwa ni kazi bure.

Fani gani, ulianzaje mchakato, ulikutana na vikwazo gani, ulivukaje, stakeholders wako uliwapataje, walihitaji nini ili kukuunga mkono??!!!

Wezesha wengine kwa uzoefu wako acha lawama na kujiona umeweza!!!
 
Wewe lazima utakuwa div 5 tu? Nsjuhakikishia, kabla ya ujio wa div 5 hakukuwa na huu utumbo ulioandika.
Shikamoo div 5.

ivi nyinyi div 5 mumeziona wap mbona mi sijaziona na nimemaliza form 4 mwaka jana na sijaziona izo, na ndio mana "nina wasi wasi na ip yako"
 
Wewe kweli ni pure Big Results Now product. Akili yako ni ndogo sana

kwani brn ina nini mimi nimemaliza mwaka jana na nina akili za hatar ata aliyemaliza degree hawez ku argu with me. pia "nina mashaka sana juu ya iq yako"
 
Acha kasumba bhana mtu wa say wild life management ye kuandika barua kunamkoseshaje sifa???!!!
Kama waajiri ni kama wewe bado mna slave mentality!!!!!!
Wakati mtu wa sales anatakiwa kuwa na leseni ni sababu inamsaidia kutembea na usafiri huko kwenye masoko!!!!

Vigezo vingine ni vya kijjinga tu!!!!

Huwezi kuandika vizuri bila kufikiria,so if you are a poor writer you are also not a good thinker, good writers are smarter than bad writers
 
Back
Top Bottom