kuna watu hawalipwi kabisa, kusomea na kudeliver ni vitu 2 tafautiWatu wa private sector kuweni serious na profession za watu.
Kwa kweli soko ndiyo inayopanga bei ya kila kituKuna rafiki yangu ana kampuni ya Logistics na constructions hii ndio mishahara anayolipa kwa graduates,anasema kama hutaki acha maana kuna watu kibao hawana ajira wanaitaka hata hiyo 400k
Wanadhani kuandika ni sawa na kulipa hizo kazi zenyewe muda mwingine hawapati watu wanakula mshahara na kampuni mwezi huo haijaingiza..Kulipa mshahara sio mchezo laki nne
Ni balaa watu wanadhan kampuni ni Kam serikali ambayo inakusanya makodi kila siku plus mikopo na misaada na kumudu kulipa mishaharaWanadhani kuandika ni sawa na kulipa hizo kazi zenyewe muda mwingine hawapati watu wanakula mshahara na kampuni mwezi huo haijaingiza..