Graduated....

From :Paka Jimmy
To :Paka Mweusi.
Date :16/07/2012
Subject :Congratulations

May the achievement you have made gradually change you status!



Together wajina @Paka Jimmy nashukuru kwa pongezi ila naomba tu tuwe pamoja ili hii Jack Daniels niliyoianzisha isinikanumbe hahahahaha.....
 
Together wajina pakaJimmy nashukuru kwa pongezi ila naomba tu tuwe pamoja ili hii Jack Daniels niliyoianzisha isinikanumbe hahahahaha.....
Mimi naiogopa sana hiyo kitu hatari JD broder!..Mimi natumia Konyagi tu aisee, naongeza pato la viwanda vya kizalendo, na kuendana na SERIKALI SIKIVU ya ccm!
Usikute waliokufa huko Kigogo walichanganyiwa Gongo na JD!
 
Hahahahahah...wajina usinivunje mbavu eti waliokufa kigogo walichanganyiwa na gongo...thanks mkuu hapa nilipo kaka kuipata nyagi mpaka nitume order lakini anyway tupo pamoja kaka ipo siku nitawatilia timu Arachuga nikitua bongo..
 
nimekukubali babu wa wajukuu zangu...

Na usingejuja hapa kunipongeza ningeandamana,no ningegoma maana ndio mtindo wa kisasa si unajua kuwa ukishazeeka mimi ndio nitakuwa babu wa wajukuu zako...hahahah
 
Mtani hongera sana. ukigraduate wewe ndivyo JF inavyozidi kuwa na great thinkers waliobobea, big up saaaaana!



Tuko pamoja mtani hapa nimekosa kishushio cha nyumbani tu lakini kuna kiUkrain kimoja kinasumbuasumbua hapa kinataka nirudi nacho nyumbani...
 
Reactions: LD
Kuna sherehe ya nini hapa? Graduation? Ngoja kwanza nikavute ugoro wangu...sijaelewa.



Usikonde we nitakukamata kulekule kwa siku zote hapa naogopa nitafumaniwa.....
 
Reactions: LD
Hongera sana mkubwa .u av been given the power to read.



Pamoja sana mkuu siku zote huwa najiuliza,fedha tukosa hata elimu nayo jamani itushinde..??Basi hiyo ndio changamoto yangu kuu kaka,kaza msuli kakaipo siku ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…