Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru mwalimu nakuita hivyo kwa sababu hiyo ndio profesheni yangu ya kwanza(for six years) kabla sijaanza mambo ya kusafiri na hakuna kazi ninayoipenda ama ualimu,ila nakuomba tu unieleze japo kwa uduchu kuhusu mrombo wala usiogope kuchakachua mada ndio kusaidiana huko ndugu yangu
hongera Paka Mweusi,
umesomea nini?
A,Aaaaaaaah sasa tunataka kuaibishana hapa,nimeshapokea hongera kibao na wewe unataka kujua nilichosomea ili ukikuta nilikuwa nasomea upishi unidharau vizuri.Anyway ni mambo ya business adminstration.
hongera mkuu,nimeuliza kwa sababu mie ndio naenda kuanza september,hivyo natafuta watu niwe nawapa assigment zangu,lol:spy:
Kakunywesha nini huyu mtu? Hapo pa juu hapo...ni kwambaaaaa...Ukimaliza Ngosha unifunike halafu usisahau kuzima taa.Mwalimu asante sana kwa shule uliyonipa,hapo kuna kitu kikubwa sana nimejifunza na kuna kaharufu ka ukweli,maana niliwahi kuwa na mmrarangu mwishoni mwa miaka ya 90`s na jinsi ulivyoniambia mengi yanashabihiana ila sasa kwa mrombo naanza kuogopa,sasa kama hana true orgasm si nitakuwa kama ninamtesa mwenzangu anyway wacha tuwasubiri usiogope nipo kukutetea wakija na matusi yao.Ila mrombo wangu simuachi..
eebwana naomba nikupe general xstics za mabinti wa kichaga ila zina exceptions mmarangu wanamaringo sana na niwazuri sana wa sura na maumbo wengi ni weupe wamesoma ila wana maringo mabaya sana, wanaweza kuunderestimate utu wa mtu, dharau zao ni mbaya sana kwa mtu asiyekuwa wa kwao mdomo pia wamepewa wanaongea sana na wanapenda kazi soft kama mabenk mashirika makubwa na maisha ya juu sana.
wamachame hawa ni kubota chapa kazi, wamesoma, wanajua kufocus mbali wengi wao rangi ni maji ya kunde na wana maumbo ya mazuri ila miguu wamekosa. waekness yao kubwa ni wakali kwenye ujinga huwa hawapendi kabisa ujinga na hili huwafanya watu wawaone kama vile wauaji. but ukweli ukioa huyu utajiri chap chap.
warombo hawa kakweli ni wazuri sana kwa maumbo yaani ukitaka figure 8 hapa ndo kwao, ni wachapa kazi hawanaga uchaguzi wa kazi wao kazi zao nyingi ni manual ila niwatafutaji wa hela huwa hawaangalii aina ya kazi ama kisomo kwao hela matters. na ukweli jamani wachaga wenye akili kuliko wote za darasani ni waromb na uo ndo ukweli.
wauru hawa ni wachaga masharobaro wapo wachache na walisoma nje wengi lol na hawa wanatofautiana kidogo na wa old moshi ambao wao ni wapiga porojo na wapenda sifa.
wakibosho hawa jamani ni wakali ile mbaya ngumi mkononi lkn pia wafanyabiashara sana wengi wao shule hawako vizuri.
wakirua nao wao wanapenda kazi za manispaa tu hawapendi shida na shule kwao siyo ishu.
wasiha hawa wako kama wakirua na ni wanawake waropokaji mfano mzuri kaka yao Mwanri.
katika wote hao wachaga ambao ni wafanyakazi za bar ni warombo kisa hawachagui kazi. ambao ni mapepe ni wamarangu na wamachame hawa wanapenda sana kuwa na mabuzi.warombo wana weakness moja katika mapenzi kwamba wengi hawana true orgasm.
nawasilisha. nasubiri mipasho kwa mabinti wa kichaga manake leo nitakoga matusi.
Nakupongeza sana ingawa suala hili liko mahakamani!