Nashukuru mwalimu nakuita hivyo kwa sababu hiyo ndio profesheni yangu ya kwanza(for six years) kabla sijaanza mambo ya kusafiri na hakuna kazi ninayoipenda ama ualimu,ila nakuomba tu unieleze japo kwa uduchu kuhusu mrombo wala usiogope kuchakachua mada ndio kusaidiana huko ndugu yangu
eebwana naomba nikupe general xstics za mabinti wa kichaga ila zina exceptions mmarangu wanamaringo sana na niwazuri sana wa sura na maumbo wengi ni weupe wamesoma ila wana maringo mabaya sana, wanaweza kuunderestimate utu wa mtu, dharau zao ni mbaya sana kwa mtu asiyekuwa wa kwao mdomo pia wamepewa wanaongea sana na wanapenda kazi soft kama mabenk mashirika makubwa na maisha ya juu sana.
wamachame hawa ni kubota chapa kazi, wamesoma, wanajua kufocus mbali wengi wao rangi ni maji ya kunde na wana maumbo ya mazuri ila miguu wamekosa. waekness yao kubwa ni wakali kwenye ujinga huwa hawapendi kabisa ujinga na hili huwafanya watu wawaone kama vile wauaji. but ukweli ukioa huyu utajiri chap chap.
warombo hawa kakweli ni wazuri sana kwa maumbo yaani ukitaka figure 8 hapa ndo kwao, ni wachapa kazi hawanaga uchaguzi wa kazi wao kazi zao nyingi ni manual ila niwatafutaji wa hela huwa hawaangalii aina ya kazi ama kisomo kwao hela matters. na ukweli jamani wachaga wenye akili kuliko wote za darasani ni waromb na uo ndo ukweli.
wauru hawa ni wachaga masharobaro wapo wachache na walisoma nje wengi lol na hawa wanatofautiana kidogo na wa old moshi ambao wao ni wapiga porojo na wapenda sifa.
wakibosho hawa jamani ni wakali ile mbaya ngumi mkononi lkn pia wafanyabiashara sana wengi wao shule hawako vizuri.
wakirua nao wao wanapenda kazi za manispaa tu hawapendi shida na shule kwao siyo ishu.
wasiha hawa wako kama wakirua na ni wanawake waropokaji mfano mzuri kaka yao Mwanri.
katika wote hao wachaga ambao ni wafanyakazi za bar ni warombo kisa hawachagui kazi. ambao ni mapepe ni wamarangu na wamachame hawa wanapenda sana kuwa na mabuzi.warombo wana weakness moja katika mapenzi kwamba wengi hawana true orgasm.
nawasilisha. nasubiri mipasho kwa mabinti wa kichaga manake leo nitakoga matusi.