Graduates hizi ndizo kazi zilizojaa.. tusiziogope

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,646
Reaction score
36,604
Graduate mwenzetu amezianza na joho lake.

Your browser is not able to display this video.
 
Amesomea nini? Masijala? Mining? HR? BA?
Unaweza kuta ni mechanical/electrical engineer huyo!
Sababu ni nini ya kuweza kukuta ni Mechanical au Electrical Engineer na si wengine?
 
Sababu ni nini ya kuweza kukuta ni Mechanical au Electrical Engineer na si wengine?
Nimemaanisha, kuna taaluma ni ngumu kujiajiri kwa level ya taaluma yao na kuna nyingine unaweza kubakia kwenye harufu ya taaluma hata kama ni kwa level ya chini kabisa.

Electrical, Mechanical mathalani, akatembeze karanga kwenye sinia? Kuanzia vijiwe vya welding, wiring, magereji, ukishoka n.k

Sasa HR, unajiajirije kabla ya kuwa na nguvu ya pes?
 
Mbona kawaida tu sisi tunauza machinga kkoo na ni graduates na pesa tunapiga tu kuliko walioko maofisini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…