BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Absolutely.. na watumishi walionyimwa increment na madaraja wahamasishe wale wanaowategemea kuizika rasmi ccm !
Wakishaikata ndio watapata hizo ajira?. Mawazo mengine ni vituko kabisa.
Zile pesa mkubwa alichota kutokana na mamlaka makubwa aliyonayo. Zimeenda kwenye miradi ya maendeleo.Mafao yanacheleweshwa Sana kipindi hiki, kote psssf na NSSF.
Je, Tayari wameshafanya yao kuzikomba?
Kazi huna hela huna utamuhamasisha shemeji yako anaekupa hela aikatae vipi ccm?Kwa hasira hamasisheni ndugu, jamaaa na marafiki wawakatae hawa wajanja wajanja kama Delila.
Aiseee!Zile pesa mkubwa alichota kutokana na mamlaka makubwa aliyonayo. Zimeenda kwenye miradi ya maendeleo.
Zamani, sasa hivi wastaafu wanazungushwaaa tu, kila wakienda wanaambiwa mtandao uko chini, wajaribu kufuatilia baada ya miezi, wanashangaa mtandao ukiwa chini leo ndio aambiwe afuatilie baada ya miezi, mifuko iko hoi baba yake taaban.Mafao yanacheleweshwa Sana kipindi hiki, kote psssf na NSSF.
Je, Tayari wameshafanya yao kuzikomba?
Vijana wa siku hizi wamelala mno ... utafikiri ni form six leavers. Hivi vyuo vikuu vya kumwaga vya JK nafikiri vimechangia kwa hili ........!!Graduates,
Kama kungekuwa na sera nzuri basi mngekuwa na ajira ila sera za sasa ni za Kimasifa kununua ndege, mara kujenga madaraja makubwa sehemu ambayo haina return kubwa.
Vijana mko mtaaani miama minne mitano sasa na ajira.
Kwa hasira hamasisheni ndugu, jamaaa na marafiki wawakatae hawa wajanja wajanja kama Delila.
Haingii akilini hamna ajira then muendelee kushabikia CCM.
Tupo busy na TikTok Mkuu(joking)Vijana wa siku hizi wamelala mno ... utafikiri ni form six leavers. Hivi vyuo vikuu vya kumwaga vya JK nafikiri vimechangia kwa hili ........!!
Hizi hesabu za kipuuzi ndo zinazokufanya ukae kwa shemeji yako mpaka sasa.Tena hapa ndipo hesabu nzuri ya ushindi wa Lissu inapokuja: Mfano jobless Graduates wawe wako 800,000 then kila mmoja ahamasishe watu 10 wa kumpigia kura Lissu, hapa idadi ya kura za Lissu=800,000 X10 =8,000,000. Wapo pia watumishi wa umma waliodhulumiwa mishahara na madaraja let say 700,000 kila mmoja akielimisha ndugu zake na familia yake wote kumpigia kura Lissu jumla watu 10, hapa jumla ya kura za Lissu = 700,000 X10 = 7,000,000, Wapo pia vigogo na wafanya biashara wakubwa let say 2000, kila mtu akihamasisha wafanya biashara wengine 1000 kuchagua Lissu hapa kura zingine= 2000 X1000= 2,000,000 wapo pia wanachama na wakereketwa wa Lissu na CHADEMA ndani na nje ya Chama wakiwemo wanaCCM wasiokubaliana na mfumo wa sasa ndani ya ccm Let say, 500,000 na kila mmoja ahamasishe 10 tu, hapa tena Lissu anatia kibindoni kura=500,000 X 10, =5,000,000. Grand Total ya kura zote za Lissu =22,000,000 .Wapiga kura wote waliojiandikisha kwa mujibu wa tume ni 29,000,000 , hivyo ushindi huo ni kama 75.9% ! Mungu yabariki makundi haya yote niliyoyataja ukayatume yapate kufanya kazi hii adhimu kwa maendeleo ya taifa letu!
Angalau mimi nina mahala pa kuishi hata kama ni pa shem, sasa wewe mwenzangu unaishi kutegemea misiba itokee, ndugu zako wote wapo kijiweni, hoi bin taabani alafu leo umekazana unapigia debe wabaguzi na wanyonyaji je hujioni kama wewe ni MSUKULE???Hizi hesabu za kipuuzi ndo zinazokufanya ukae kwa shemeji yako mpaka sasa.
Umeisha kuwa ZOMBI
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ndio kituko ni moja ya njia ya kuidabisha serikali iliyopo madarakniWakishaikata ndio watapata hizo ajira?. Mawazo mengine ni vituko kabisa.
Hata form six wana afadhali wao wanawaza wakigraduate waajiliwe ni muhimu wakatumia elimu waliyoipata kubuni ajira zao wenyeweVijana wa siku hizi wamelala mno ... utafikiri ni form six leavers. Hivi vyuo vikuu vya kumwaga vya JK nafikiri vimechangia kwa hili ........!!
Mkuu, kuajiriwa ni haki ya raia wote. Haiwezekani graduate wote wakajiajiri ... It has never happened anywhere in this world. Serikali makini inatakiwa kutengeneza ajira .... ndiyo maana akina Trump huwa wanajivunia kutengeneza ajira na US report ya ajira (NFP) hutoka kila Ijumaa ya kwanza ya mwezi.Hata form six wana afadhali wao wanawaza wakigraduate waajiliwe ni muhimu wakatumia elimu waliyoipata kubuni ajira zao wenyewe