Uchaguzi 2020 Graduates msio na ajira, hamasisheni ndugu, jamaa na marafiki waikate CCM

Uchaguzi 2020 Graduates msio na ajira, hamasisheni ndugu, jamaa na marafiki waikate CCM

Graduates,

Kama kungekuwa na sera nzuri basi mngekuwa na ajira ila sera za sasa ni za Kimasifa kununua ndege, mara kujenga madaraja makubwa sehemu ambayo haina return kubwa.

Vijana mko mtaaani miama minne mitano sasa na ajira.

Kwa hasira hamasisheni ndugu, jamaaa na marafiki wawakatae hawa wajanja wajanja kama Delila.

Haingii akilini hamna ajira then muendelee kushabikia CCM.
mkuu, umesikia sera za hao washindani wa CCM? wao wanataka kuongeza mishahara ya polisi ili mkiandamana mdundwe sawasawa, FFU akiongezwa mshahara si ndio anakuwa na ari zaidi ya kazi.

Wanaongelea fao la kujitoa yaani ukifukuzwa kazi fasta unapewa chako kwao job security sio priority kabisa

wanataka huduma za afya ziwe za kulipia hata ukiugua homa kumuona tu daktari pesa, hakunaga bima ya bure lazima ulipe premium yaani no bima no afya.

Vile vitambulisho vya machinga wanaviondoa ukionekana na chupi mkononi mgambo wa jiji wanawewe, utapigwa utanyanganywa na hamna pa kulalamika,

bora wachague hawahawa CCM wameahidi ajira 8m, unaweza pata ajira hata ya u KK,
 
Back
Top Bottom