Graduates shitukeni mapema hali sio nzuri

Kuna mjinga mmoja anatisha watu kuwa akimaliza chuo tu anatusua
Ndizo akili za wanavyuo wengi wanapanga maisha akilini mwao ingali bado hawajui baada ya chuo.Hawaju kuna njemba zina degree,diploma na PhD za kitaa yani tangu agraduate hajapata hawajapata kazi
 
Ndizo akili za wanavyuo wengi wanapanga maisha akilini mwao ingali bado hawajui baada ya chuo.Hawaju kuna njemba zina degree,diploma na PhD za kitaa yani tangu agraduate hajapata hawajapata kazi
Kuna jamaa kapiga Phd juzi nilikuwa naye nabadilisha a naye mawazo.
 
Kumbe?

Hivi wahindi wanafanyaje wao? Usha juliza kwa nini huwezi wakuta wanasoma Maendeleo ya jamii au History?

Elimu haijawahi kuwa na shida tatizo ni Aibu na Uoga.


AIBU PLUS UOGA SASA ELIMU NI NGAO TU.

Hao.Maprofesa si wameseloma.wengine Uingereza wengine Urusi wengine India wengine Ukirine wengine CANADA ila mbona hawajiajiri?

Si wamesoma huko kwenye elimu ya kujiajiri?

AIBU NA UOGA
 
Ubachosema ni kweli na kama tutakaa kuisubiri ajira mwisho was siku tutajikuta matatani kabisa! Naamini akili ikishughulishwa ktk kufikiri kwa mapana zaidi tutapambana na hali hii ngumu
 
hawataki kusikia kbsa hzo mambo we waambie habar za TL utawaona wanakuja kwa speed kubwa! WE ARE NOT POOR IN RESOURCES BUT WE POOR IN MIND
kama mnakula vinyesi mnataka watu wafuate yaleyale? Kila mtu mwacheni awe huru afanye awezacho
 
Tena ukitumia akili unatoboa miles kibao far kuliko walio kwenye ajira...
 
Wakuu, mm nadhani kujiajiri sio tatizo.
Bidhaa nyingi zinazozalishwa nchini (hasa za kilimo) hazina soko la uhakika, shida ni mfumo mbovu uliopo,, na viongozi wetu wanafanya maamuzi ya hovyo na ya kukurupuka kwakuwa wao wanalipwa mill 9 kwa mwezi. Mfano watu wamelima mahindi Tanga Morogoro, Ruvuma nk yamejaa vijijini wananchi hawana maghala makubwa ya kuhifadhi, hawana pesa ya kununua madawa kuzuia wadudu waharibifu, maghala ya serikali hawanunui. halafu wanafunga mipaka eti hakuna kusafirisha mahindi nje aloo! Wakati Kenya kuna njaa hapo.. kununua unga dukani mwisho kilo 1
Wangeruhusu wakulima wapeleke mahindi au unga si gunia lingeuzwa 300,000. Mwanakijiji gan angekuwa masikini??
Note:
Mahindi ni mfano tu lkn kuna nafaka nyingi sana zinaharibika vijijini mf Mbaazi, viazi, mihogo mbogamboga nk
Wameshasema hawatoi chakula cha msaada c inatosha? kwani mpaka wafunge na mipaka tena??
HALAFU TUNATAKA FEDHA ZA KIGENI, UCHUMI UKUE nk.
 
Wasomi wetu hawataki kazi chini ya Laki5
Hapo ndipo nnapoonaga Wamesoma ila sio Wasomi....

wengine tulikua kwenye ajali ya 2012 Hatujawahi kushika peni tena, tushasoma Maisha ya Uraiani ila hatuwezi kuwashauri maana hatujasoma na wala sio wasomi
 
Asante sana kwa kuliona hili. Usidhan watu hawana ideas za ujasiriamali tatizo ni serikali kutumia mabavu kuminya wakulima. Kuna soko kubwa sana la chakula zambia, malawi na kenya. Haturuhusiwi kuuza huko. Hii sio sahihi kabisaa
 
Taja hizo firsa maana graduates tupo hapa tunataka tuzione tuanze kuzifanyia kazi, inaweza ikawa ww unaziona zaidi hizo fursa kulivyo tuanavyo sisi.
 
Mbona mnaongea kirahisi sana...hizo kazi za masaa machache zinapatikana wapi nchi hii?

Omba kazi acha uoga..
Hata kusaidia jikoni kusafisha vyombo vya restaurant kwa masaa mawili ni kazi n.k.
 
Asante sana kwa kuliona hili. Usidhan watu hawana ideas za ujasiriamali tatizo ni serikali kutumia mabavu kuminya wakulima. Kuna soko kubwa sana la chakula zambia, malawi na kenya. Haturuhusiwi kuuza huko. Hii sio sahihi kabisaa
Chakula kipi? Mkuu una Data au.Unaongea? Zambia wana chakula cha kutosha hadi wanauzia WFP labda Kenya. Hata Malawi.wanachakula.na ndo huko Kenya wananunua.kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…