Menyainganyi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2013
- 1,170
- 1,102
Taja hizo fursa, usiache watu hewani . .Njooni mikoani Kuna fursa nyingi sana musi ng'ang'anie Dar es salaam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taja hizo fursa, usiache watu hewani . .Njooni mikoani Kuna fursa nyingi sana musi ng'ang'anie Dar es salaam
Ndizo akili za wanavyuo wengi wanapanga maisha akilini mwao ingali bado hawajui baada ya chuo.Hawaju kuna njemba zina degree,diploma na PhD za kitaa yani tangu agraduate hajapata hawajapata kaziKuna mjinga mmoja anatisha watu kuwa akimaliza chuo tu anatusua
Kuna jamaa kapiga Phd juzi nilikuwa naye nabadilisha a naye mawazo.Ndizo akili za wanavyuo wengi wanapanga maisha akilini mwao ingali bado hawajui baada ya chuo.Hawaju kuna njemba zina degree,diploma na PhD za kitaa yani tangu agraduate hajapata hawajapata kazi
Kumbe?elimu bado si rafiki kwa mtanzania jaman toka unaanza kozi mpaka unamaliza huongozwi kujitegemea au swali rahisi kuna maprof wangapi waliojiajiri au masters holder wenye uwezo wa kumiliki gari au nyumba ya milion thelathin elimu yetu ipo midomon na kwenye vitabu hii nikutokana na nchi kupuuza vipaji vya watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili pia nakumbuka kauli*you can't solve the problem with the same level of thinking which created them*
Imekuwaje?Huko kwenye kilimo na biashara ya mazao! Nimeshakula risasi nyingi kuliko alizopigwa Lisu... Loss niliyopata huko, hapa niko ICU. Maumivu niliyoyapata ni zaidi ya kupigwa risasi 28!
Broo em dizain flani ni P.MNjooni mikoani Kuna fursa nyingi sana musi ng'ang'anie Dar es salaam
Kazi hizo kwa bongo hazipakan labda uende ulaya su uwe na kaa mradi after lesson unaenda kuuza upate angalau senti 2,3Mkiwa vyuoni fanyeni kazi za masaa machache mpate ujuzi.
kama mnakula vinyesi mnataka watu wafuate yaleyale? Kila mtu mwacheni awe huru afanye awezachohawataki kusikia kbsa hzo mambo we waambie habar za TL utawaona wanakuja kwa speed kubwa! WE ARE NOT POOR IN RESOURCES BUT WE POOR IN MIND
bado wale maadui 3 aliowasema hayati J.K Nyerere tupo nao na hatupo tayar kuwaacha manake nawaona hapakama mnakula vinyesi mnataka watu wafuate yaleyale? Kila mtu mwacheni awe huru afanye awezacho
Mbona mnaongea kirahisi sana...hizo kazi za masaa machache zinapatikana wapi nchi hii?Mkiwa vyuoni fanyeni kazi za masaa machache mpate ujuzi.
Asante sana kwa kuliona hili. Usidhan watu hawana ideas za ujasiriamali tatizo ni serikali kutumia mabavu kuminya wakulima. Kuna soko kubwa sana la chakula zambia, malawi na kenya. Haturuhusiwi kuuza huko. Hii sio sahihi kabisaaWakuu, mm nadhani kujiajiri sio tatizo.
Bidhaa nyingi zinazozalishwa nchini (hasa za kilimo) hazina soko la uhakika, shida ni mfumo mbovu uliopo,, na viongozi wetu wanafanya maamuzi ya hovyo na ya kukurupuka kwakuwa wao wanalipwa mill 9 kwa mwezi. Mfano watu wamelima mahindi Tanga Morogoro, Ruvuma nk yamejaa vijijini wananchi hawana maghala makubwa ya kuhifadhi, hawana pesa ya kununua madawa kuzuia wadudu waharibifu, maghala ya serikali hawanunui. halafu wanafunga mipaka eti hakuna kusafirisha mahindi nje aloo! Wakati Kenya kuna njaa hapo.. kununua unga dukani mwisho kilo 1
Wangeruhusu wakulima wapeleke mahindi au unga si gunia lingeuzwa 300,000. Mwanakijiji gan angekuwa masikini??
Note:
Mahindi ni mfano tu lkn kuna nafaka nyingi sana zinaharibika vijijini mf Mbaazi, viazi, mihogo mbogamboga nk
Wameshasema hawatoi chakula cha msaada c inatosha? kwani mpaka wafunge na mipaka tena??
HALAFU TUNATAKA FEDHA ZA KIGENI, UCHUMI UKUE nk.
Mbona mnaongea kirahisi sana...hizo kazi za masaa machache zinapatikana wapi nchi hii?
Chakula kipi? Mkuu una Data au.Unaongea? Zambia wana chakula cha kutosha hadi wanauzia WFP labda Kenya. Hata Malawi.wanachakula.na ndo huko Kenya wananunua.kwa sasa.Asante sana kwa kuliona hili. Usidhan watu hawana ideas za ujasiriamali tatizo ni serikali kutumia mabavu kuminya wakulima. Kuna soko kubwa sana la chakula zambia, malawi na kenya. Haturuhusiwi kuuza huko. Hii sio sahihi kabisaa