Mtoa maada anataka kuchota akili watu,kwanza kutoa graduates wazuri sio sababu ya kuwa university;
Huyu jamaa au bibi angekuwa employer angejua utofauti wa institute na univ.
Chuo kuwa institute maana yake sio kuwa hakitoi elimu bora bali ni concentration katika practical rather than theories.
Ubora wa graduate hautegemei chuo peke yake,kwa kiasi kikubwa unategemea na maandalizi ya graduate mwenyewe katika ku-face mazingira ya kazi na baadae ni alichokipata chuoni.
Ugumu wa mitihani sio ubora wa graduate ,mitihani inaweza kuwa migumu kiasi cha kukufanya kuwa hard worker,mitihani moderate inaweza lenga kukuandaa kuwa smart worker. Ulimwengu kwa sasa unamuhitaji smart worker ambaye ni creative na sio hard worker aliyekuwa anakariri assignment zinazorudi kuwa mitihani. Nilikutana na jamaa wa IAA anajisifu kuwa shule yao ni ngumu lakini kwa kiasi gani imemuandaa kuwa creative ? Usomi wetu umekuwa wa kukariri tu halafu bado tunabaki kusema chuo bora chuo bora, kama vyuo hivi tunavyosifu ni bora, vingetoa graduate ambao wangesaidia kupunguza japo tatizo la foleni sio wanaoliongeza kwa kukimbilia mikopo ya magari, shilingi inaanguka nitajie graduate bora wa chuo bora aliyekuja na solution ya kuokoa shilingi hata kwa simple research
Lets be great thinkers