Graduates waambiwe ukweli , Career nyingi hasa za kutumia mdomo hazitambui degree zenu. Mjiongeze

Graduates waambiwe ukweli , Career nyingi hasa za kutumia mdomo hazitambui degree zenu. Mjiongeze

Habari wadau.

Nimekutana na graduates wa UDSM analalamika ajira hapati na yeye ana degree ya Mass communication from school of Journalism ya UDSM.

Baada ya kumsikiliza nilimuuliza swali. Kwamba kama ndio yeye anafungua media yake yenye radio na Tv wanakuja watu kuomba kazi.. mmoja ana first class ya UDSM na mwingine ni Millard ayo ambaye ni form failure ana div 4. Yeye atamuajiri nani akajibu Millard ayo.

Nikamuuliza tena kama media yake imepewa event iendeshe na katika waomba kazi hiyo anakuja MC GaraB ambaye ni form 4 failure na mwingine anakuja ana first class ya UDSM.. yeye atampa nani mchongo huo. Akajibu atampa Mc Gara B ili wateja wake waridhike.

Nikamwambia hayo majibu yako huo ndio uhalisia ulivyo.

Baba levo ambaye ni form 4 failure anaajirika kiurahisi kwenye media yoyote kuliko mwenye first class kwa zama hizi.

Wale kina Suzi Bale ama Zai kijiwe nongwa wana nguvu kubwa sokoni kuliko graduate mwenye first class ya mass communication.

Na nikampa mifano hai ya mc garab haijui degree , millard ayo haijui degree wala baba levo haijui degree ila wanagombaniwa
Mass Communication sio masuala ya Media tu
 
Naaam......

Habari zilizotufikia hivi punde ni

Pamoja na raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Samia suluhu Hassan aungana na maraisi wanachama jumuiya ya madola....
 
Ajira ambazo ni za uhakika kwasasa Tz ni ualimu na uuguzi... Wanangu wafanye makosa yote ila sitakubali wasome courses zisizokuwa na future... Shawishini watoto na vijana wasome ualimu na sayansi maana WaTz kujiajiri hamuwezi...
Nje ya hapo wewe soma tu kuifurahisha familia yako kwamba umefika chuo ila utaishia mtaani...
Just imagine mtu anasoma mass communication, tourism, public administration, business administration, HR, accountancy, finance, international relations etc 💩💩💩
 
degree sio kuwa na kipaji au maarifa, siku hizi hizo taaluma watu wanaangalia vipaji
 
Back
Top Bottom