Graduates waambiwe ukweli , Career nyingi hasa za kutumia mdomo hazitambui degree zenu. Mjiongeze

Mass Communication sio masuala ya Media tu
 
Naaam......

Habari zilizotufikia hivi punde ni

Pamoja na raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Samia suluhu Hassan aungana na maraisi wanachama jumuiya ya madola....
 
Ajira ambazo ni za uhakika kwasasa Tz ni ualimu na uuguzi... Wanangu wafanye makosa yote ila sitakubali wasome courses zisizokuwa na future... Shawishini watoto na vijana wasome ualimu na sayansi maana WaTz kujiajiri hamuwezi...
Nje ya hapo wewe soma tu kuifurahisha familia yako kwamba umefika chuo ila utaishia mtaani...
Just imagine mtu anasoma mass communication, tourism, public administration, business administration, HR, accountancy, finance, international relations etc 💩💩💩
 
degree sio kuwa na kipaji au maarifa, siku hizi hizo taaluma watu wanaangalia vipaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…