Graduates wengi tunapitia wakati mgumu sana, sema jamii inaona kama hatujielewi

Kwakweli hali ni ngumu.

Sasa imefikia mahali hata usipochagua kazi bado hiyo kazi usiyoichagua nayo haipo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani kazi juu ya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…