Putin aligoma kuruhusu melibza nafaka kutoka Ukrain, na akatishia kupiga blacksea blockade.
Sasa Meli zimetoka Chini ya escort ya Turkey Navy
View attachment 2403309
Bila usumbufu wowote. Russian Navy base ilipigwa na drone pale Sevastopol, Crimea.
For just reference:
1. Turkey has a 2nd largest army of any NATO member except US
2. Turkey blacksea Navy fleet is 5x's larger than Russian blacksea fleet.
View attachment 2403315
Receip Tayyip Erdogan.
Unaelewa nini kuhusu army na military power?Hiyo # 1 kwenye turkish army ni number of personnel sio military equipments or military power ktk NATO, ujue hilo vizuri sana, turkey ina military personnel 447k.. Ila sio kwamba eti ni second in NATO in terms of military power.. Usichanganye madesa.
[emoji23][emoji23]Hiyo # 1 kwenye turkish army ni number of personnel sio military equipments or military power ktk NATO, ujue hilo vizuri sana, turkey ina military personnel 447k.. Ila sio kwamba eti ni second in NATO in terms of military power.. Usichanganye madesa.
Grain zinatokea wapi??Putin aligoma kuruhusu melibza nafaka kutoka Ukrain, na akatishia kupiga blacksea blockade.
Sasa Meli zimetoka Chini ya escort ya Turkey Navy
View attachment 2403309
Bila usumbufu wowote. Russian Navy base ilipigwa na drone pale Sevastopol, Crimea.
For just reference:
1. Turkey has a 2nd largest army of any NATO member except US
2. Turkey blacksea Navy fleet is 5x's larger than Russian blacksea fleet.
View attachment 2403315
Receip Tayyip Erdogan.
Unaelewa nini kuhusu army na military power?
MK254 njoo uelewe huku, Mrusi anapigana na dunia nzima, sio Ukraine 🇺🇦 peke yake
I am trying to awake you kuelewa sbb you only know nothing except copying & pasting, alafu unaniuliza swali? Swali lenyewe hata hujui unauliza nn, i repeat kwa faida yako ww kichwa ngumu.
I said, army personnel sio army, hilo la kwanza, second, nimesema Turkey has second army personnel in terms of numbers in NATO but that is not to say Turkey is the second in Military power in NATO, umeelewa ww kichwa ngumu?
Another example, Israel has fewer military personnel, but very strong military powers worldwide.. So having larger army personnel is not necessarily to have a very strong military powers/strength
See the military strength/powers hapa chini, Turkey ya 13, France ni NATO member but ya 7 kwa nguvu za kijeshi ila ina fewer military personnel kuliko Turkey. UK ni ya 8 kwa nguvu za kijeshi na ni NATO member but fewer military personnel kuliko Turkey. Like wise Italy iko juu kijeshi kuliko Turkey, natolea mifano ya NATO members tu, acha kukariri plz.
So usichanganye military personnel vs military powers/strength..!! Umeelewa kichwa ngumu?
2024 Military Strength Ranking
Ranking the nations of the world based on current available firepower.www.globalfirepower.com