karamoko Dembele
New Member
- Sep 4, 2023
- 3
- 3
Habarini za WAkati huu wakuu wangu Kuna Shule inaitwa GRAIYAKI SECONDARY SCHOOL IPO MUGUMU _SERENGETI MKOA wa MARA ni moja kati ya Shule nzuri sana kwa Olevel na primary ingia NECTA angalia matokeo yake utanielewa ni ONE NA A tyu matokeo yake ni nzuri kumpeleka mtoto wako sana sana
Maswali yangu NI JE ADA YAKE NI BEI GAN?
JE NI KWELI INAIBA MITIHANI?
Maswali yangu NI JE ADA YAKE NI BEI GAN?
JE NI KWELI INAIBA MITIHANI?