Wenyewe Grammy recording Acardemy wametaja sababu ni
1 Nyimbo aliowasilisha 'komasava' kuwa hit na kua viral sio kigezo cha yeye kuingizwa kwenye vipengele vya tuzo hizo. Inabidi ue unatoa kazi constantly zinazofanya vizuri katika soko la dunia sio kwa hit moja iliofanya vizuri
2 Yeye sio international artist bali ni msanii anaefanya vizuri afrika mashariki na kati. Tofauti na wasanii kama Biurnaboy, davido , wizkid , Rema, ambao wanajulikana duniani, kazi zao na show zinafanyila pande mbalimbali za dunia. Bado Hajaliteka soko la dunia
3 licha ya Bongo fleva kuongezwa kwenye vipengele vya Grammy kama genre ya mziki kutoka Afrika. Wasanii wanaoimba mziki huo hawajautendea haki kuuonyesha IMPACT na nguvu yake katika dunia