Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,122
- 4,699
Ingekuwa ajabu kwa muimba mitusi kushinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa sasa hivi anageuka shoga bado kiduchu tuWaandaaji wa tuzo za Grammy wametoa majina ya Nominees ambao watawania tuzo za grammy 2024 na kwenye kipengere cha Best african music perfrmance ambacho yeye alipeleka kazi zake lakino kwenye list ya majina ambao watawania tuzo hiyo jina la msanii diamondplatnumz halijatajwa kuwania kipengere hicho.View attachment 3148348
Nashangaa vijana wa bongo aiseee.Hapo kwa taarifa mbaya kama hiyo kwa diamond watu hasa wabongo wanashangilia , hiyo ni dalili ya roho mbaya unapofurahia anguko la mtu mwingine
Umeongea kinyume ....mitusi ndiyo inatakiwa duniani kwa sasa labda ungesema mitusi yake ipo katika lugha ya kiswahili hivyo aijulikaniIngekuwa ajabu kwa muimba mitusi kushinda
Na BADO 😀Roho mbaya tuliumbiwa sasa tufanyeje........fukuza huyoo
Akudanganywa,sema akumkatikia p diddy kwa bidii .na kingine p diddy yupo rumandeP Diddy alimdanganya?
Didi yupo jela...Waandaaji wa tuzo za Grammy wametoa majina ya Nominees ambao watawania tuzo za grammy 2024 na kwenye kipengere cha Best african music perfrmance ambacho yeye alipeleka kazi zake lakino kwenye list ya majina ambao watawania tuzo hiyo jina la msanii diamondplatnumz halijatajwa kuwania kipengere hicho.View attachment 3148348
We itakua shoga maana hizibmada Kila mda unaziongeleaAkudanganywa,sema ak7mkatikia p diddy kwa bidii .
Mondy ni UVCCM?Nashangaa vijana wa bongo aiseee.
Mi mondi simkubali live live ila kwa matukio kama haya huwa na feel why imetokea hv...
Wasizwa ndio kina naniTunamchukulia poa kwa sababu tunajua katoka mtaani kwetu ila Nje Diamond anafahamika kuliko unavyodhania ni vile wasizwa hawapendi mafanikio ya msizwa mwenzao niliwahi kupita Vietnam kwenye godown zao wapo busy wanapiga nyimbo za Diamond na kosa la Wasizwa kumchukia ni kuingia kwenye mambo ya Siasa za Chama Tawala..
Kwa hiyo huyo mondi anaye jirembesha na kurembua siyo shoga bali mimi ninaye hona tatizo ndiyo shoga ? Labda ungenipa cheo cha ubasha kwa kutambua mashoga na dalili zaoWe itakua shoga maana hizibmada Kila mda unaziongelea
Mkuu unaposide na Watesi wanyonge wanapoteswa tegemea matokeo kama hayo.Hapo kwa taarifa mbaya kama hiyo kwa diamond watu hasa wabongo wanashangilia , hiyo ni dalili ya roho mbaya unapofurahia anguko la mtu mwingine
Ukiweka ushahidi Grammy waliposema haya mi nipigwe ban.Wenyewe Grammy recording Acardemy wametaja sababu ni
1 Nyimbo aliowasilisha 'komasava' kuwa hit na kua viral sio kigezo cha yeye kuingizwa kwenye vipengele vya tuzo hizo. Inabidi ie unatoa kazi constantly zinazofanya vizuri sio kwa hit moja iliofanya vizuri
2 Yye sio msanii bado si international artist bali ni msanii anaefanya vizuri afrika mashariki na kati. Tofauti na wasanii kama Biurnaboy, davido , wizkid , Rema, ambao wanajulikana duniani, kazi zao na show zinafanyila pande mbalimbali za dunia
3 licha ya Bongo fleva kuongezwa kwenye vipengele vya Grammy kama genre ya mziki kutoka Afrika. Wasanii wanaoimba mziki huo hawajautendea haki kuuonyesha IMPACT na nguvu yake katika dunia
We ni shoga full stopKwa hiyo huyo mondi anaye jirembesha na kurembua siyo shoga bali mimi ninaye hona tatizondiyo shoga ? Labda ungenipa cheo cha ubasha kwa kutambua mashoga na dalili zao