Grammy wamkataa Diamond Platnumz

Grammy wamkataa Diamond Platnumz

Waandaaji wa tuzo za Grammy wametoa majina ya Nominees ambao watawania tuzo za grammy 2024 na kwenye kipengere cha Best african music perfrmance ambacho yeye alipeleka kazi zake lakino kwenye list ya majina ambao watawania tuzo hiyo jina la msanii diamondplatnumz halijatajwa kuwania kipengere hicho.View attachment 3148348
Huyo jamaa sasa hivi anageuka shoga bado kiduchu tu
 
Hapo kwa taarifa mbaya kama hiyo kwa diamond watu hasa wabongo wanashangilia , hiyo ni dalili ya roho mbaya unapofurahia anguko la mtu mwingine
Nashangaa vijana wa bongo aiseee.
Mi mondi simkubali live live ila kwa matukio kama haya huwa na feel why imetokea hv...
 
Waandaaji wa tuzo za Grammy wametoa majina ya Nominees ambao watawania tuzo za grammy 2024 na kwenye kipengere cha Best african music perfrmance ambacho yeye alipeleka kazi zake lakino kwenye list ya majina ambao watawania tuzo hiyo jina la msanii diamondplatnumz halijatajwa kuwania kipengere hicho.View attachment 3148348
Didi yupo jela...
 
Shida amepeleka amapiano aliyocopy huku anajua amapiano una mwanzilishi wake, angepeleka hata ule wimbo wa nenda ka mwambie au nitarejea wangemfikiria sana.
 
Tunamchukulia poa kwa sababu tunajua katoka mtaani kwetu ila Nje Diamond anafahamika kuliko unavyodhania ni vile wasizwa hawapendi mafanikio ya msizwa mwenzao niliwahi kupita Vietnam kwenye godown zao wapo busy wanapiga nyimbo za Diamond na kosa la Wasizwa kumchukia ni kuingia kwenye mambo ya Siasa za Chama Tawala..
Wasizwa ndio kina nani
 
Hapo kwa taarifa mbaya kama hiyo kwa diamond watu hasa wabongo wanashangilia , hiyo ni dalili ya roho mbaya unapofurahia anguko la mtu mwingine
Mkuu unaposide na Watesi wanyonge wanapoteswa tegemea matokeo kama hayo.
 
Wenyewe Grammy recording Acardemy wametaja sababu ni
1 Nyimbo aliowasilisha 'komasava' kuwa hit na kua viral sio kigezo cha yeye kuingizwa kwenye vipengele vya tuzo hizo. Inabidi ie unatoa kazi constantly zinazofanya vizuri sio kwa hit moja iliofanya vizuri

2 Yye sio msanii bado si international artist bali ni msanii anaefanya vizuri afrika mashariki na kati. Tofauti na wasanii kama Biurnaboy, davido , wizkid , Rema, ambao wanajulikana duniani, kazi zao na show zinafanyila pande mbalimbali za dunia

3 licha ya Bongo fleva kuongezwa kwenye vipengele vya Grammy kama genre ya mziki kutoka Afrika. Wasanii wanaoimba mziki huo hawajautendea haki kuuonyesha IMPACT na nguvu yake katika dunia
Ukiweka ushahidi Grammy waliposema haya mi nipigwe ban.
 
Kwa hiyo huyo mondi anaye jirembesha na kurembua siyo shoga bali mimi ninaye hona tatizondiyo shoga ? Labda ungenipa cheo cha ubasha kwa kutambua mashoga na dalili zao
We ni shoga full stop
 
Back
Top Bottom