Grammy wamkataa Diamond Platnumz

Sawasawa
 
CCM wao wamesemaje?
 
Diamond anaonekana ni msanii mkubwa ndani ya Tanzania tu ila huko nje ni underground, yani badoo sana
Tunamchukulia poa kwa sababu tunajua katoka mtaani kwetu ila Nje Diamond anafahamika kuliko unavyodhania ni vile wasizwa hawapendi mafanikio ya msizwa mwenzao niliwahi kupita Vietnam kwenye godown zao wapo busy wanapiga nyimbo za Diamond na kosa la Wasizwa kumchukia ni kuingia kwenye mambo ya Siasa za Chama Tawala..
 
Wenyewe Grammy recording Acardemy wametaja sababu ni
1 Nyimbo aliowasilisha 'komasava' kuwa hit na kua viral sio kigezo cha yeye kuingizwa kwenye vipengele vya tuzo hizo. Inabidi ue unatoa kazi constantly zinazofanya vizuri katika soko la dunia sio kwa hit moja iliofanya vizuri

2 Yeye sio international artist bali ni msanii anaefanya vizuri afrika mashariki na kati. Tofauti na wasanii kama Biurnaboy, davido , wizkid , Rema, ambao wanajulikana duniani, kazi zao na show zinafanyila pande mbalimbali za dunia. Bado Hajaliteka soko la dunia

3 licha ya Bongo fleva kuongezwa kwenye vipengele vya Grammy kama genre ya mziki kutoka Afrika. Wasanii wanaoimba mziki huo hawajautendea haki kuuonyesha IMPACT na nguvu yake katika dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…