Grammy wamkataa Diamond Platnumz


Alafu hizi anazoimba diamond sio Bongo Flava ni AMAPIANO! ni genre ya watu wengine wanaoexist tayari. Atasubiri sana huko sio BET au MTV paramount wale kusema atawahonga.
 
Shida amepeleka amapiano aliyocopy huku anajua amapiano una mwanzilishi wake, angepeleka hata ule wimbo wa nenda ka mwambie au nitarejea wangemfikiria sana.

Na hata ingetokea ameshinda kwa wimbo huo basi ingekuwa matusi makubwa sana kwa wenye amapiano yao. Uzuri kwenye kamati ya Grammy yupo msouth namfahamu, Nilijua tu lazima wapige kwenye mshono!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…