Grand malt....

Grand malt haina caffein,ina vitamin b complex na sukari
Nategemea hii kitu itasababisha hamu ya kula iwe juu kwa hiyo utakuwa unakula sana,madhara ya kula sana na mke/mdada huna ni kuongezeka kwa mbegu na ashki,hii ndo inafanya uume usimame,kama vipi fanya mazoezi sana kama kukimbia na kuruka kamba,iyo hali itaisha,kimsingi GRAND MALT NI KINYWAJI SALAMA SANA kati ya vinywaji vilivyopo maana hakina viasili sumu kama vingine!
 
asante xana mpendwa and ntaufanyia ushauri wako kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…