ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,767
- 6,575
tusubiri watafiti wetu wa muhimbili.
wazee kiti moto kinapunguza nguvu za kiume mwee...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tusubiri watafiti wetu wa muhimbili.
asante xana mpendwa and ntaufanyia ushauri wako kazi.Grand malt haina caffein,ina vitamin b complex na sukari
Nategemea hii kitu itasababisha hamu ya kula iwe juu kwa hiyo utakuwa unakula sana,madhara ya kula sana na mke/mdada huna ni kuongezeka kwa mbegu na ashki,hii ndo inafanya uume usimame,kama vipi fanya mazoezi sana kama kukimbia na kuruka kamba,iyo hali itaisha,kimsingi GRAND MALT NI KINYWAJI SALAMA SANA kati ya vinywaji vilivyopo maana hakina viasili sumu kama vingine!
Hiyo itakuwa ya azam.mie nikinywa lazima NIHARISHE ile mbaya. SIZITAKI HIZI MALT TENA