Grandmalt na mimba

Grandmalt na mimba

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
173
Jamani huyu wife ana mimba ya miezi saba sasa, amehamua kununua grandmalt caton nzima, jamani hazina madhara hizi?
 
Jamani huyu wife ana mimba ya miezi saba sasa, amehamua kununua grandmalt caton nzima, jamani hazina madhara hizi?
Anataka kunywa zote kwa pamoja au moja moja kila siku..??
 
Ukitaka kujuwa kama zina madhara au la tuandikie hapa ingredients zake halafu tutachambua moja baada ya nyingine lakini mpaka hapo usimruhusu mpaka ututajie ingredients, soma kwenye kizibo au pembeni mwa kopo lazima kuna sehemu wameandika vitu vilivyotumika kutengeneza hiyo grandmalt.

Jamani huyu wife ana mimba ya miezi saba sasa, amehamua kununua grandmalt caton nzima, jamani hazina madhara hizi?
 
Mie nilikunywa sana redbull na sikupata madhara yoyote hadi najifungua, anyway ngoja aje mzizi hapa adadavue
Jamani huyu wife ana mimba ya
miezi saba sasa, amehamua kununua grandmalt caton nzima, jamani hazina
madhara hizi?
 
Madhara mengine hayahusishi kuugua ugonjwa fulani moja kwa moja. Redbull ina kaffeina nyingi sana madhara yake yanaweza kuwa kwenye long term.

Mie nilikunywa sana redbull na sikupata madhara yoyote hadi najifungua, anyway ngoja aje mzizi hapa adadavue
 
Back
Top Bottom