Grano Caffe Vs UDASA Club

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
6,974
Reaction score
8,750
Hizi ni sehemu za kujiburudisha kwa vinywaji/chakula kwenye compound moja hapo jijini Dar. Ila sehemu moja pamoja na kulisha wasomi wakubwa nchi hii mazingira ni hafifu (ikiwemo vyoo vyake). Sijui wasomi wetu wanakwama wapi?
GRANO CAFFE





 
Pale Chuo UDASA club wangeweza kuweka Coffee Shop ya nguvu, car wash, barber shop, massage parlour, Wi-Fi na Generator 24/7 watu wakawa wanaenda pale na kufanya kazi zao na ku-enjoy Ile Green. Pia, Ile shule ingefaa kuwa Demonstration school, English-medium pangefaa Sana.
 
Mkuu...Ndio maana bei za UDASA na GRANO COFEE ziko tofauti.......Ukitaka UDASA iwe kama GRANO COFEE; lecturers na hao wasomi wetu, wataweza kweli kwenda kupata chakula na vinywaji pale?
 
Wasomi na exposure juu lakini hawawezi ku implement hata vitu vidogo ili pawe eneo bora zaidi!

UDASA ni sehemu ya mfano ya failures za wasomi nchi hii! Mabingwa wa warsha, makongamano na consultations lakini vitendo wanavyohubiri zero! Utafikiri ni zile bar kongwe za enzi zetu bana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…