Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Hivi UDASA club bado iko
Kitambo sana
Kitambo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanalipwa vizuri tu sema hawajaekewa vitu vizuri around ,hapo udasa pako jivyo huu mwaka wa 30 ubunifu zeroSina haja ya Kujua....Mbona huwa hatuwakuti pale Grano Coffee hata kwa bahati Mbaya. Tunawakuta UDASA na pale Opposite ya UDBS tu....Hivyo jibu unalo mwenyewe hapo.
Hakuna Profesa wa club/bar designing. Siyo kazi yao.Maprofesa wetu Wana theories zaidi
Hapa nilikuwa naenda kuanzia saa mbili asubuh mpaka ngoma kumi jioni nakunywa coca moja tu. Forex imenitaabisha sana asee.UDASA napajua wahudumu wazee
Professor of Marketing je?Hakuna Profesa wa club/bar designing. Siyo kazi yao.
Wacha nicheki na ASAD.Professor of Marketing je?
Kuweka mgahawa wa kisasa pale ni hasara, nani atanunua kahawa kwa TZS 5,000 hadi 10,000 kwa kikombe wakati pembeni kuna chai ya TZS 200 na vitumua vya TZS200, pale Granno kachumbali pekee inaanzia TZS 15,000 wakati hilo sosi la kwenye picha UDASA ni TZS 2,500/=Pale Chuo UDASA club wangeweza kuweka Coffee Shop ya nguvu, car wash, barber shop, massage parlour, Wi-Fi na Generator 24/7 watu wakawa wanaenda pale na kufanya kazi zao na ku-enjoy Ile Green. Pia, Ile shule ingefaa kuwa Demonstration school, English-medium pangefaa Sana.
PhD zimejaa pale Ila usafi wa Choo tu ni ishuWasomi na exposure juu lakini hawawezi ku implement hata vitu vidogo ili pawe eneo bora zaidi!
UDASA ni sehemu ya mfano ya failures za wasomi nchi hii! Mabingwa wa warsha, makongamano na consultations lakini vitendo wanavyohubiri zero! Utafikiri ni zile bar kongwe za enzi zetu bana!
Silver sands HotelWasomi na exposure juu lakini hawawezi ku implement hata vitu vidogo ili pawe eneo bora zaidi!
UDASA ni sehemu ya mfano ya failures za wasomi nchi hii! Mabingwa wa warsha, makongamano na consultations lakini vitendo wanavyohubiri zero! Utafikiri ni zile bar kongwe za enzi zetu bana!