Kunywa acha keleleNilweka Uzi wangu mods mkaufuta.
Uhuru uko wapi??
Vunga chalii wanguNilweka Uzi wangu mods mkaufuta.
Uhuru uko wapi??
Unalipwa kiasi gani kwa kuwawekea tangazo hili hao wauzaji wa hii pombe?Hii drink Ikiwa unatafuta scotch ambayo itavutia hamu yako, Grant inaweza kuwa maarufu sana. Hata hivyo, ikiwa unahitaji tu whisky ili kufanya usiku wako wa majira ya baridi kufurahisha zaidi, Grant's ni nafuu, ni rahisi kunywa, na ni tamu isiyopingika.
View attachment 2605445
Hata madaktar wanapenda sana kufanyia matibabu wagonjwa wa figo waliougua kwasabab ya pombe kali kama Grants na wenzake