Graph ya Beki Mohammed Hussein Tshabalala Kiuchezaji inapungua sana mwambieni 'Bata K' zake 4 zinammaliza

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Huko nyuma alikuwa na Nidhamu sana ( kwa kuwa Mtu wa Ibada na Kuchukia Starehe ) ila GENTAMYCINE nimesikitika mno tokea mwaka jana ( Msimu ulioisha ) hadi huu wa sasa ulioanza Kiwango chake kimeshuka na kinaendelea tu Kushuka.

Tafadhali mliyenae Karibu mwambieni aachane na 'Bata K' zake za Magomeni Mataa, ya Kawe Ukwamani anayoshea na Nyoni na Mkude, ya Kimara Baruti na ile ya Kinondoni Studio kwani zinammaliza mno Kiwango chake na abakie tu na 'Bata K' yake iliyobarikiwa na Allah ( Mwenyezi Mungu ) Msikitini.
 
Unasahau umri
 
Bata K.. hakuna ilie muacha salama.. kama akiingia kwa kufamakamia.. hasa kwenye michezo.. hizo wawaachia bongo fleva
 
mambo mengine jifunze kupotezea....kila kitu unakuja kupost jamii forum, huna kazi za kufanya
Mapopoma kama mtoa mada huwa hayana kazi za kufanya. Mara nyingi hujibanza kwenye vijiwe vya kahawa kwa lengo la kukusanya taarifa za umbea. Na wakizipata tu hizo taarifa, ndiyo wanakuja faster kuanzishia nyuzi zao humu jukwaani.
 
Back
Top Bottom