GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Unasahau umriHuko nyuma alikuwa na Nidhamu sana ( kwa kuwa Mtu wa Ibada na Kuchukia Starehe ) ila GENTAMYCINE nimesikitika mno tokea mwaka jana ( Msimu ulioisha ) hadi huu wa sasa ulioanza Kiwango chake kimeshuka na kinaendelea tu Kushuka.
Tafadhali mliyenae Karibu mwambieni aachane na 'Bata K' zake za Magomeni Mataa, ya Kawe Ukwamani anayoshea na Nyoni na Mkude, ya Kimara Baruti na ile ya Kinondoni Studio kwani zinammaliza mno Kiwango chake na abakie tu na 'Bata K' yake iliyobarikiwa na Allah ( Mwenyezi Mungu ) Msikitini.
Bata K.. hakuna ilie muacha salama.. kama akiingia kwa kufamakamia.. hasa kwenye michezo.. hizo wawaachia bongo flevaHuko nyuma alikuwa na Nidhamu sana ( kwa kuwa Mtu wa Ibada na Kuchukia Starehe ) ila GENTAMYCINE nimesikitika mno tokea mwaka jana ( Msimu ulioisha ) hadi huu wa sasa ulioanza Kiwango chake kimeshuka na kinaendelea tu Kushuka.
Tafadhali mliyenae Karibu mwambieni aachane na 'Bata K' zake za Magomeni Mataa, ya Kawe Ukwamani anayoshea na Nyoni na Mkude, ya Kimara Baruti na ile ya Kinondoni Studio kwani zinammaliza mno Kiwango chake na abakie tu na 'Bata K' yake iliyobarikiwa na Allah ( Mwenyezi Mungu ) Msikitini.
Acha nongwa,mtu kukosea ni kawaida.Nikisema mimi naonekana muongo au nina chuki binafsi
Mohammed Hussein ni moja ya mzigo na udhaifu wa Simba
SawaaaAcha nongwa,mtu kukosea ni kawaida.
Mapopoma kama mtoa mada huwa hayana kazi za kufanya. Mara nyingi hujibanza kwenye vijiwe vya kahawa kwa lengo la kukusanya taarifa za umbea. Na wakizipata tu hizo taarifa, ndiyo wanakuja faster kuanzishia nyuzi zao humu jukwaani.mambo mengine jifunze kupotezea....kila kitu unakuja kupost jamii forum, huna kazi za kufanya
Atakuwa na 39.Unasahau umri